Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unamtu anaumwa kwenu, au kwako au wewe unaumwa.?Fafanua Mkuu
Evil spirit in general, wachawi vigagula majini mapeo zote zi evil spiritMkuu inaweza kuwa Tofauti Na wachawi
ombea na ukemee sana roho ya utapeli inakuzonga gentleman..Wanajukwaa Poleen na Majukum,Naomben Msaada wa Maarifa kutafasiri Ndoto.
Ukiona Nyoka wawili kwenye Ndoto huwa wanamaanisha nini?
Kuota kumuona nyoka ni ndoto yenye maana hii ni kwamba shetani ameshaiona nyota yako inavyochomoza hivyo anataka kukupa kikwazo Fulani au kukuangamiza ili usifikie mafanikio yako inawezekana anataka kukupa ugonjwa utakao dumu muda mrefu ama anataka kukupa ajaliWanajukwaa Poleen na Majukum,Naomben Msaada wa Maarifa kutafasiri Ndoto.
Ukiona Nyoka wawili kwenye Ndoto huwa wanamaanisha nini?
wewe ndio ufafanue uliona nyoka kafanyaje ??? Nikupe full interpretationFafanua Mkuu
Pole sana kaka.Ukiona Nyoka wawili kwenye Ndoto huwa wanamaanisha nini?
Yah ni kweli, it depends with the context of the dreamSometimes is the sign of healing
Asante MkuuKuota kumuona nyoka ni ndoto yenye maana hii ni kwamba shetani ameshaiona nyota yako inavyochomoza hivyo anataka kukupa kikwazo Fulani au kukuangamiza ili usifikie mafanikio yako inawezekana anataka kukupa ugonjwa utakao dumu muda mrefu ama anataka kukupa ajali
Ingia kwenye maombi uombe neema kwa Mungu ili akujulishe ni wapi ambapo shetani anataka kukupiga
Omba rehema
Zaburi 51
Umba ulinzi
ZAburi 91
Mungu atakapokupa jibu kemea kwa damu ya Yesu jambo hilo lisifanikiwe
Katika zama hizi hakuna watafsiri wa ndo,utatapeliwa bure,kuwa makini.Wanajukwaa Poleen na Majukum,Naomben Msaada wa Maarifa kutafasiri Ndoto.
Ukiona Nyoka wawili kwenye Ndoto huwa wanamaanisha nini?