Nisaidien Kutafasiri hii Ndoto

Nisaidien Kutafasiri hii Ndoto

Wanajukwaa Poleen na Majukum,Naomben Msaada wa Maarifa kutafasiri Ndoto.

Ukiona Nyoka wawili kwenye Ndoto huwa wanamaanisha nini?
ombea na ukemee sana roho ya utapeli inakuzonga gentleman..

jihadhari mno, matapeli wamepanga kumaliza mwaka na wewe gentleman. Nyoka ni ishara ya utapeli, kudanganywa, uongo au kurubuniwa.

kama kuna mchongo wa kazi, biashara, uchumba, mchepuko, nabii wa uongo n.k, kua nayo makini sana vinginevyo unakwenda kuumbuka kwa kutapeliwa mbaya sana gentleman...

usipuuze hii gentleman, maana ukisahau, Lazima utakumbuka baada ya kulizwa 🐒
 
Wanajukwaa Poleen na Majukum,Naomben Msaada wa Maarifa kutafasiri Ndoto.

Ukiona Nyoka wawili kwenye Ndoto huwa wanamaanisha nini?
Kuota kumuona nyoka ni ndoto yenye maana hii ni kwamba shetani ameshaiona nyota yako inavyochomoza hivyo anataka kukupa kikwazo Fulani au kukuangamiza ili usifikie mafanikio yako inawezekana anataka kukupa ugonjwa utakao dumu muda mrefu ama anataka kukupa ajali
Ingia kwenye maombi uombe neema kwa Mungu ili akujulishe ni wapi ambapo shetani anataka kukupiga
Omba rehema
Zaburi 51
Umba ulinzi
ZAburi 91
Mungu atakapokupa jibu kemea kwa damu ya Yesu jambo hilo lisifanikiwe
 
Fafanua Mkuu
wewe ndio ufafanue uliona nyoka kafanyaje ??? Nikupe full interpretation

Nyota: Wanawakirisha ushirikina/ uchawi.

Ukisimulia ndoto yote ndio tutajua umetumwa engo gani uwo uchawi au nguvu za giza.
 
Ukiona Nyoka wawili kwenye Ndoto huwa wanamaanisha nini?
Pole sana kaka.
Ukiota hivyo kuna rafiki au jirani anapanga hila za kukufukuzisha kazi au kuhamishwa kitengo.
Ama kukutoa katika nafasi uliyopo, either kwenye familia au mahusiano.
Mtafute Mchungaji akuombee na uambatanishe sadaka baada ya kukuombea.
 
Kuota kumuona nyoka ni ndoto yenye maana hii ni kwamba shetani ameshaiona nyota yako inavyochomoza hivyo anataka kukupa kikwazo Fulani au kukuangamiza ili usifikie mafanikio yako inawezekana anataka kukupa ugonjwa utakao dumu muda mrefu ama anataka kukupa ajali
Ingia kwenye maombi uombe neema kwa Mungu ili akujulishe ni wapi ambapo shetani anataka kukupiga
Omba rehema
Zaburi 51
Umba ulinzi
ZAburi 91
Mungu atakapokupa jibu kemea kwa damu ya Yesu jambo hilo lisifanikiwe
Asante Mkuu
 
Potezea kama vile huamini lolote au kemea in the name of Jesus Christ ..ili kama ni jambo baya mana nyoka ni ubaya/mabaya/adui basi kwa maombi hutafikwa na lolote.
 
Nyoka anamuwakilisha shetani moja kwa moja, sasa kama ulikuwa unapambana basi ulikuwa unapambana na roho za kishetani
 
Back
Top Bottom