Mmh...!hata hawezi kufanya hivyo but yeye anadai tu kuwa namchosha sana na mara kadhaa amekuwa akiniomba nipunguze hilo la kunisaliti sikubaliani nalo coz ananipenda nampenda sana..!Inawezekana una uchu ila inawezekana pia kwamba huenda humridhishi mkeo ndiyo maana kaamua akuache akatafute mtu mwingine kwa gia kwamba anaenda mapumziko.
Take care
Sasa nitafanyaje ndo nimeshamuoa hivyo afu nampenda naye ananipenda nishauri kitu kingine..!Huna tatizo; ndivyo ulivyo. Ingefaa umpate mweza mwenye uchu kama wako. Jaribu kujizuia kidogo ili isiwe kero kwa mkeo la sivyo uwe mbunifu wa kumshawishi azoee hali hiyo... atakaponogewa utaenjoy...
Mmh...!hata hawezi kufanya hivyo but yeye anadai tu kuwa namchosha sana na mara kadhaa amekuwa akiniomba nipunguze hilo la kunisaliti sikubaliani nalo coz ananipenda nampenda sana..!
Mhhhh Hapana, Uliposema una uchu sana nikadhani ni mara 7 mpaka 9 kwa siku, lakin kama ni kila siku, SIDHANI kama huo ndo uchu, mbona wengine tunapiga hata mara 4 mpaka 6 per day na hakuna malalamiko, hebu jaribu tu kuwa mbunifu katika rendo then ndipo ujidhanie una uchu, mara nyingi
same styles without preparation huwa inaboa sana,
yawezekana amechoshwa na same styles w/o prep daily ndio maana ameshindwa kukwambia NO, na badala yake anasingizia over do! Dont take love for granted, after marriage
[MENTION=225559]Mwinjuma1[/MENTION
cc FaizaFoxy, Smile King'asti
[/QUOTE
Mkuu mi nadhani ujanielewa yaani hizo style tumemaliza ya kila aina tatizo ni uchuuuuu!! Yaani sitosheki kirahisi..!
Mkuu TUNAPENDANA kwelikweli siusemei moyo mara kibao ananiambia anafurah sana kuwa na mm but shida ni hiyo tu mkuu uchu...!
Unaonyesha we ni mtaalam mambo hayo..!Nunua box la sabuni za mshindi, kila akikuletea zengwe unazama zako bafuni, si unajua kuna maukimwi huko nje, kwa hiyo usithubutu kutafuta mwanamke mwingine,
ila kuwa makini unapokuwa bafuni usije pata mimba za viganjani!!
unashughulika na nini?usikute ni wale wanaoka vibarazani coz kama uko busy siku nzima,lazima utarudi nyumbani umechoka na hutataka kufanya sana kama vile umeambiwa hutaiona tena