Nisaidieni jaman, nina uchu wa kufanya mapenzi sana

Nisaidieni jaman, nina uchu wa kufanya mapenzi sana

covid 19

JF-Expert Member
Joined
May 9, 2014
Posts
6,967
Reaction score
17,452
WanaJF habari zenu, ni miaka kadhaa tangu nioe lakini najishangaa nilivyo kwa sababu ninauchu sana wakufanya mapenzi yani mpaka mama watoto ananiletea noma.

Anasema nimezidisha maana kam ni amri yangu kila siku nipige mzigo sasa mke wangu yupo likizo na amegoma kubaki home eti ananiambia anaenda kwao kupumzika ninamchosha mno naombeni nisaidieni eti huo uchu nilionao ni tatizo au kawaida tu.
 
Inawezekana una uchu ila inawezekana pia kwamba huenda humridhishi mkeo ndiyo maana kaamua akuache akatafute mtu mwingine kwa gia kwamba anaenda mapumziko.

Take care
 
Huna tatizo; ndivyo ulivyo. Ingefaa umpate mweza mwenye uchu kama wako. Jaribu kujizuia kidogo ili isiwe kero kwa mkeo la sivyo uwe mbunifu wa kumshawishi azoee hali hiyo... atakaponogewa utaenjoy...
 
Inawezekana una uchu ila inawezekana pia kwamba huenda humridhishi mkeo ndiyo maana kaamua akuache akatafute mtu mwingine kwa gia kwamba anaenda mapumziko.

Take care
Mmh...!hata hawezi kufanya hivyo but yeye anadai tu kuwa namchosha sana na mara kadhaa amekuwa akiniomba nipunguze hilo la kunisaliti sikubaliani nalo coz ananipenda nampenda sana..!
 
Huna tatizo; ndivyo ulivyo. Ingefaa umpate mweza mwenye uchu kama wako. Jaribu kujizuia kidogo ili isiwe kero kwa mkeo la sivyo uwe mbunifu wa kumshawishi azoee hali hiyo... atakaponogewa utaenjoy...
Sasa nitafanyaje ndo nimeshamuoa hivyo afu nampenda naye ananipenda nishauri kitu kingine..!
 
Nunua box la sabuni za mshindi, kila akikuletea zengwe unazama zako bafuni, si unajua kuna maukimwi huko nje, kwa hiyo usithubutu kutafuta mwanamke mwingine,

ila kuwa makini unapokuwa bafuni usije pata mimba za viganjani!!
 
Mmh...!hata hawezi kufanya hivyo but yeye anadai tu kuwa namchosha sana na mara kadhaa amekuwa akiniomba nipunguze hilo la kunisaliti sikubaliani nalo coz ananipenda nampenda sana..!

usiusemee moyo, hilo ni jambo la kuomba Mungu tu asiwe na akili hiyo
 
Watakuja wa kumsaidie mama watoto wako, si umesema Yuko likizo?!.
 
Mhhhh Hapana, Uliposema una uchu sana nikadhani ni mara 7 mpaka 9 kwa siku, lakin kama ni kila siku, SIDHANI kama huo ndo uchu, mbona wengine tunapiga hata mara 4 mpaka 6 per day na hakuna malalamiko, hebu jaribu tu kuwa mbunifu katika rendo then ndipo ujidhanie una uchu, mara nyingi same styles without preparation huwa inaboa sana,

yawezekana amechoshwa na same styles w/o prep daily ndio maana ameshindwa kukwambia NO, na badala yake anasingizia over do!
Dont take love for granted, after marriage

Mwinjuma1

cc FaizaFoxy, Smile King'asti

Last edited by a moderator:
usiusemee moyo, hilo ni jambo la kuomba Mungu tu asiwe na akili hiyo

Mkuu TUNAPENDANA kwelikweli siusemei moyo mara kibao ananiambia anafurah sana kuwa na mm but shida ni hiyo tu mkuu uchu...!
 
Mhhhh Hapana, Uliposema una uchu sana nikadhani ni mara 7 mpaka 9 kwa siku, lakin kama ni kila siku, SIDHANI kama huo ndo uchu, mbona wengine tunapiga hata mara 4 mpaka 6 per day na hakuna malalamiko, hebu jaribu tu kuwa mbunifu katika rendo then ndipo ujidhanie una uchu, mara nyingi
same styles without preparation huwa inaboa sana,

yawezekana amechoshwa na same styles w/o prep daily ndio maana ameshindwa kukwambia NO, na badala yake anasingizia over do!
Dont take love for granted, after marriage
[MENTION=225559]Mwinjuma1[/MENTION
cc FaizaFoxy, Smile King'asti

[/QUOTE
Mkuu mi nadhani ujanielewa yaani hizo style tumemaliza ya kila aina tatizo ni uchuuuuu!! Yaani sitosheki kirahisi..!
 
Last edited by a moderator:
Mkuu TUNAPENDANA kwelikweli siusemei moyo mara kibao ananiambia anafurah sana kuwa na mm but shida ni hiyo tu mkuu uchu...!

tatizo unajiamini kupita kiasi!!

Kila la kheri, mvumilie kama kweli unampenda!!
 
Nunua box la sabuni za mshindi, kila akikuletea zengwe unazama zako bafuni, si unajua kuna maukimwi huko nje, kwa hiyo usithubutu kutafuta mwanamke mwingine,

ila kuwa makini unapokuwa bafuni usije pata mimba za viganjani!!
Unaonyesha we ni mtaalam mambo hayo..!
 
unashughulika na nini?usikute ni wale wanaoka vibarazani coz kama uko busy siku nzima,lazima utarudi nyumbani umechoka na hutataka kufanya sana kama vile umeambiwa hutaiona tena
 
unashughulika na nini?usikute ni wale wanaoka vibarazani coz kama uko busy siku nzima,lazima utarudi nyumbani umechoka na hutataka kufanya sana kama vile umeambiwa hutaiona tena

Wote mm na mkewang tu wafanyakazi.. ndo maana naomba ushauri coz naic si kawaida hii..!'
 
Hapo ni issue ya compatibility tu! Hauna tatizo lolote!

In nature kunavichwa vinapenda kubanjuka!

But utambue, sio nature tu inafanya mambo yaende kama yalivyo! Hata artificial zinaweza kutumika ili kufanya mambo yaende vizuri!

Kuna two options unaweza kuchagua moja!

  • Upunguze kula vyakula vinavyonyegesha! May be ukitoka home unajigongea masupu and/or machopochopo mengine!

  • Or umuandalie mkeo addition masosi kwa ajili ya kumnyegesha!

Kila la heri!
 
Ushawahi kwenda chumvini kwa mkeo? Kama bado anza sasa
 
Back
Top Bottom