Nisaidieni jaman, nina uchu wa kufanya mapenzi sana

Nisaidieni jaman, nina uchu wa kufanya mapenzi sana

WanaJF habari zenu, ni miaka kadhaa tangu nioe lakini najishangaa nilivyo kwa sababu ninauchu sana wakufanya mapenzi yani mpaka mama watoto ananiletea noma.

Anasema nimezidisha maana kam ni amri yangu kila siku nipige mzigo sasa mke wangu yupo likizo na amegoma kubaki home eti ananiambia anaenda kwao kupumzika ninamchosha mno naombeni nisaidieni eti huo uchu nilionao ni tatizo au kawaida tu.

ahh mbna easy sna ye c analeta pozi we chepuka tu jamii itakusamee tu
 
Back
Top Bottom