Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaha mankam usikimbie ushauri wako muhmu..
WanaJF habari zenu, ni miaka kadhaa tangu nioe lakini najishangaa nilivyo kwa sababu ninauchu sana wakufanya mapenzi yani mpaka mama watoto ananiletea noma.
Anasema nimezidisha maana kam ni amri yangu kila siku nipige mzigo sasa mke wangu yupo likizo na amegoma kubaki home eti ananiambia anaenda kwao kupumzika ninamchosha mno naombeni nisaidieni eti huo uchu nilionao ni tatizo au kawaida tu.
We unaijua hiyo dawa nifahamishe bac..!!