covid 19
JF-Expert Member
- May 9, 2014
- 6,967
- 17,452
- Thread starter
- #21
Thnxxx mkuu nimekupata!Hapo ni issue ya compatibility tu! Hauna tatizo lolote!
In nature kunavichwa vinapenda kubanjuka!
But utambue, sio nature tu inafanya mambo yaende kama yalivyo! Hata artificial zinaweza kutumika ili kufanya mambo
yaende vizuri!
Kuna two options unaweza kuchagua moja!
- Upunguze kula vyakula vinavyonyegesha! May be ukitoka home unajigongea masupu and/or machopochopo mengine!
- Or umuandalie mkeo addition masosi kwa ajili ya kumnyegesha!
Kila la heri!