Nisaidieni jaman, nina uchu wa kufanya mapenzi sana

Nisaidieni jaman, nina uchu wa kufanya mapenzi sana

Hapo ni issue ya compatibility tu! Hauna tatizo lolote!

In nature kunavichwa vinapenda kubanjuka!

But utambue, sio nature tu inafanya mambo yaende kama yalivyo! Hata artificial zinaweza kutumika ili kufanya mambo

yaende vizuri!
Kuna two options unaweza kuchagua moja!
  • Upunguze kula vyakula vinavyonyegesha! May be ukitoka home unajigongea masupu and/or machopochopo mengine!
  • Or umuandalie mkeo addition masosi kwa ajili ya kumnyegesha!

Kila la heri!
Thnxxx mkuu nimekupata!
 
sasa we umeoa mwanamke asiyependa kufanywa.... hapo mchepuko ndo unahusika kweli nazidi kuamni wanawake ni chanjo cha wanaume kuchepuka aiseeee... anakunyima tamu yako loh
 
sasa we umeoa mwanamke asiyependa kufanywa.... hapo mchepuko ndo unahusika kweli nazidi kuamni wanawake ni chanjo cha wanaume kuchepuka aiseeee... anakunyima tamu yako loh
Miss chagga kuchepuka siwezi coz nampenda mke wangu sitaki kumsaliti but mke wangu uniudumia hadi anachoka even me namuoneaga huruma but ndo hivyo nikiwa nae karibu tu shida lazima nimdandie tu...!
 
Ungekuwa na uchu wa madaraka ningekushauri ila kama ni K basi tena!
 
Wewe si umeweka post ya kuwa una 1.2mil unataka usaidiwe biashara gani ufanye...nahisi ukishajuwa biashara ya kufanya tatizo lako litaisha..mda b mwingi utakuwa busy na biashara.
 
Mmhhhhhhhhhhhh hata mie siwezi kila siku,ndugu yangu.Ina maana hata akiwa MP unangonoka nye tu, au unafanyake? je kipindi akijifungua huwa unafanyaje? Punguza ndugu yangu kweli anachoka kulingana na shughuli ndogo ndogo za nyumbani hata kama anamsichana wa kazi lakini......inafikia wakati/ siku mwili unagoma kabisaaaaa.
 
Miss chagga kuchepuka siwezi coz nampenda mke wangu sitaki kumsaliti but mke wangu uniudumia hadi anachoka even me namuoneaga huruma but ndo hivyo nikiwa nae karibu tu shida lazima nimdandie tu...!

Basi anza kufanya masterbation tu
 
Mmhhhhhhhhhhhh hata mie siwezi kila siku,ndugu yangu.Ina maana hata akiwa MP unangonoka nye tu, au unafanyake? je kipindi akijifungua huwa unafanyaje? Punguza ndugu yangu kweli anachoka kulingana na shughuli ndogo ndogo za nyumbani hata kama anamsichana wa kazi lakini......inafikia wakati/ siku mwili unagoma kabisaaaaa.

Kwa kweli namuheshimu sana siwez kufnya njia tofauti na wakt wa uzazi alisafiri haa!haa! Nilipata shida sitaki kukumbuka ilibaki kidogo tu nichepuke namshukur Mungu alinisaidia but mda mwingine uzalendo unanishnda kabisaa nambembeleza sana anipe tu kidogo then aendelee na shughuli zake..!
 
Hapo inabidi uongeze mke, ukimpumzisha mmoja unamshughulikia mwingine.
 
Back
Top Bottom