Thnxxx mkuu nimekupata!Hapo ni issue ya compatibility tu! Hauna tatizo lolote!
In nature kunavichwa vinapenda kubanjuka!
But utambue, sio nature tu inafanya mambo yaende kama yalivyo! Hata artificial zinaweza kutumika ili kufanya mambo
yaende vizuri!
Kuna two options unaweza kuchagua moja!
- Upunguze kula vyakula vinavyonyegesha! May be ukitoka home unajigongea masupu and/or machopochopo mengine!
- Or umuandalie mkeo addition masosi kwa ajili ya kumnyegesha!
Kila la heri!
Miss chagga kuchepuka siwezi coz nampenda mke wangu sitaki kumsaliti but mke wangu uniudumia hadi anachoka even me namuoneaga huruma but ndo hivyo nikiwa nae karibu tu shida lazima nimdandie tu...!sasa we umeoa mwanamke asiyependa kufanywa.... hapo mchepuko ndo unahusika kweli nazidi kuamni wanawake ni chanjo cha wanaume kuchepuka aiseeee... anakunyima tamu yako loh
Ungekuwa na uchu wa madaraka ningekushauri ila kama ni K basi tena!
K nayo ni daraka ujue
Miss chagga kuchepuka siwezi coz nampenda mke wangu sitaki kumsaliti but mke wangu uniudumia hadi anachoka even me namuoneaga huruma but ndo hivyo nikiwa nae karibu tu shida lazima nimdandie tu...!
Hehehe na maraka ya K nayo sio mchezo ujue!!
Bora uwe mwanademokrasia tu hehehe
Mmhhhhhhhhhhhh hata mie siwezi kila siku,ndugu yangu.Ina maana hata akiwa MP unangonoka nye tu, au unafanyake? je kipindi akijifungua huwa unafanyaje? Punguza ndugu yangu kweli anachoka kulingana na shughuli ndogo ndogo za nyumbani hata kama anamsichana wa kazi lakini......inafikia wakati/ siku mwili unagoma kabisaaaaa.