Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa nitafanyaje ndo nimeshamuoa hivyo afu nampenda naye ananipenda nishauri kitu kingine..!
Kwa kweli namuheshimu sana siwez kufnya njia tofauti na wakt wa uzazi alisafiri haa!haa! Nilipata shida sitaki kukumbuka ilibaki kidogo tu nichepuke namshukur Mungu alinisaidia but mda mwingine uzalendo unanishnda kabisaa nambembeleza sana anipe tu kidogo then aendelee na shughuli zake..!
Makwetu axante kwa msaada wako wewe unaonyesha unaelewa vema mambo haya ni ukweli mtupu uliyoyasema huwa naongea nae na uniambia yeye anauwezo wa kukaa hata wiki 2 pasipo kufanya mapenzi nitamshauri apike zaidi vyakula hivyo vya wanga ili na yeye awe na uchu ila naogopa vyakula hivi visije kuniongezea uchu ikawa shida..!Katika suala la tendo la ndoa hakuna kupewa kidogo!.Hapa inaonesha kuwa wewe unajipendelea zaidi, wakati yeye hayuko tayari, wewe unakuwa umeshasimamisha.Kuna kazi.Ushauri ni kuwa labda mwanamke apendelee kupika vyakula vya wanga pia kwenye mboga asikose kuweka nyanyachungu inavichocheo vya kuongeza hamu ya ngono.Pamoja na hayo kaka yangu, kumbuka kuwa wanawake wanatofautiana kulingana n shughuli zetu za kila siku.Wengine wakipata dozi mara moja hata miezi mitatu humaliza bila kuhitaji.Punguza.
Mmh...!hata hawezi kufanya hivyo but yeye anadai tu kuwa namchosha sana na mara kadhaa amekuwa akiniomba nipunguze hilo la kunisaliti sikubaliani nalo coz ananipenda nampenda sana..!
WanaJF habar zenu..ni miaka kadhaa tangu nioe lkn najishangaa nilivyo coz ninauchu sana wakufanya mapenzi yani mpaka mama watoto ananiletea noma anasema nimezidisha coz km ni amri yangu kila siku nipige mzigo sasa mke wangu yupo likizo na amegoma kubki home eti ananiambia anaenda kwao kupumzika ninamchosha mno naombeni nisaidieni eti huo uchu nilionao ni tatizo au kawaida tu..!!
Makwetu axante kwa msaada wako wewe unaonyesha unaelewa vema mambo haya ni ukweli mtupu uliyoyasema huwa naongea nae na uniambia yeye anauwezo wa kukaa hata wiki 2 pasipo kufanya mapenzi nitamshauri apike zaidi vyakula hivyo vya wanga ili na yeye awe na uchu ila naogopa vyakula hivi visije kuniongezea uchu ikawa shida..!
Vyakula hivyo kwa upande wake.Halafu wewe unatakiwa kufanya kazi za kukuweza uwe busy muda wote.Hata ikifika muda wa usiku uwe umechoka.Nina mashaka na kazi unayofanya.Labda si za kutumia nguvu, wala haupati misuko suku kutoka mwajiri wako.
Acha wife aende afu wewe vuta mwanamama mwingine ndani wa kupozea; win-win situation
WanaJF habar zenu..ni miaka kadhaa tangu nioe lkn najishangaa nilivyo coz ninauchu sana wakufanya mapenzi yani mpaka mama watoto ananiletea noma anasema nimezidisha coz km ni amri yangu kila siku nipige mzigo sasa mke wangu yupo likizo na amegoma kubki home eti ananiambia anaenda kwao kupumzika ninamchosha mno naombeni nisaidieni eti huo uchu nilionao ni tatizo au kawaida tu..!!