Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,762
- 59,204
- Thread starter
-
- #181
Hahahahahahaha weye Ivuga umenichekesha sana na maua yako chocolate etc LOL! Vipi umeongea na mtoto au bado kakununia?
bado mkuu,mtoto yuko india huko south kuna mji sijui unaitwa bangalo sijui ... nadhani hajapata internet bado..but feedback zote nitawapa...kuna jamaa humu wanadhani nimetunga but sio hizo ingekuwa ya kutunga ningeiweka kwenye jokes!!! JF- genuine
asante sana dearmmmhh ivuga ndugu yangu ilikuwaje kwani??? busighof lakin ni bit tuu si wajua tena wanawake kwa maneno alhamdulillah we mdang'anye danganye tuu atakuelewa. ok?? inshallah all dah best ..
bado mkuu,mtoto yuko india huko south kuna mji sijui unaitwa bangalo sijui ... nadhani hajapata internet bado..but feedback zote nitawapa...kuna jamaa humu wanadhani nimetunga but sio hizo ingekuwa ya kutunga ningeiweka kwenye jokes!!! JF- genuine
Miye nimeamini ulichoandika ni kweli lakini usisahau sala maana ni muhimu sana.
asante sana dear
Hahahha mie simuaminMiye nimeamini ulichoandika ni kweli lakini usisahau sala maana ni muhimu sana.
ahh wapi sikio la kufa!yap... thats true.....
uuuhhhhh wiiiiiiiii
jamani
nini tena kulikni Ivunga wangu??
yaani tangu niondoke naona kila mtu anakuambia R.I.P
hadi bibi mzuri Maria Roza anataka kujua kama unataka akuzike au akuchome...
Nini tena jamani.
Mbona hakuna kosa alilofanya wapendwa??
mna mhukumu bure..
mmhh hizi mbona ni zile za Pilato??
Huyo mdada atakuwa ni mmachame nini? Maana wamachame ndo kazi yao kuua wanaume!!!!!!!!! Pole sana kijana, jaribu kukwepa kuwakaribia wamachameeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
ngoja kwanza niambie kwanza jinsia yako...manake si unajua tena?
afrodenzi dada yangu nakupenda
japokuwa mimi sio mpemba
nitakupa mambo motomoto kama marashi ya pemba
hii stori ya leo ni kweli imetpokea na wala sio pumba,
na nikija kutana na wewe tutakuwa ndani ya chumba
na yatakayotokea yanabakia humuhumo ndani ya nyumba
Afrodenzi mtoto wa kiafrika
kwa heri ya kuonana na mola akupe zake baraka
na zawadi ya maua nimekuaptia na wala sio takataka
umeisuuza roho yangu na imetakata,kama mtu asiye na mashaka
afrodenzi siwezi hesabu baraka zote, kwani nyingine sinto zitambua
Kama nyota za mbinguni kule, jaribu wewe kunihesabia
Ingawa nina matatizo mengine, siwezi tupia MUNGU lawama
Kukosa viatu nijililie, je mkosa miguu si atajinyonga?
Ingawa ulimwengu hauna simile, NAHESABU BARAKA
leo upo nami bila simile,na uwepo wako nautambua
ee mola inabidi nikulilie,afrodenzi aweze tambua
ngoja nimalizie hapa, nisije vuka mpaka
nakuheshimu we dada ,afrodenzi mama afrika
japo naishi kwa shaka,ila mola hana mipaka
ataniepushia hii shida,kwani sikuitaka
mimi binadamu nna makosa ,mbele zake kutubu sintoacha
msamaha kwa wadada na wamama,ndani ya jf na kila kona
nitawapenda daima,na kuwaheshimu kila masaa
hatakama mauti itanikuta ,ila msamaha nishawaomba
sikujua kuwa yatanikuta ,makubwa kama haya
na bahatimbaya nikijaondoka,mpeni ujumbe wangu bila haya
asipelekwe mahabusu wala jela,wala kumsumbuasumbua
mawakili na wanaharakati hapa,najua mtamsaidia
hii stori ni ya kweli guys !!!!na nawashukuru wote kwa ushauri
mmmhh mama wee
mmhh ngoja ni observe hii 1st..
is to sweet to swallow
is to beautiful to share..
is to wonderful to touch..
is to special to sell
ooohh dear
Ivunga Ivunga
mmmhhh
kweli umenichua mpaka maani dear..
Hahahha mie simuamin
Nitakutafuta unifundhishe kushuka vina hhahahha :A S kiss::A S kiss::A S kiss:
eheeee haya
Eheeee haya