Nisaidieni kazi yoyote jamani, maisha magumu

Pole sana ndugu… nakupongeza kwa kuwa wazi Maana ni ujasiri uliotukuka. Mungu akuongoze, natumaini utapata alternative hivi karibuni. Kuwa na imani
 
Mkuu walau ungetaja hata ujuz wako wowote ule

Humu jf kila mtu n boss anakampun bila shaka utapata tu

Mambo yakibana sana nitaangalia namna uje tusaidizane kuziba pancha baiskeli za watu hapa kange Tanga
Asante mkuu
 
Hama nchi tu maana hata hao waliosoma kazi hakuna ndio kwaaanza mama yao anateua wazee wastaafu, kinmsingi vijana wa bongo mmepigwa na kitu kizito sana kic hwani tena chenye ncha kali sana. Pole sana
 
Nina shida sana hali ngumu, nahisi kukata tamaa. Yoyote anisaidie kazi yoyote. Maana sina hela na nyumbani na nahitaji kupata mahitaji yangu Kama sabuni, nguo nk.
Nimeona niweke wazi tu wenda kuna mtu humu atanisaidia.
Ww ni ke au me? Weka picha yako na mawasiliano yako nina kazi nzuri nitakupatia ila ya usiku wa manane
 
Mkuu walau ungetaja hata ujuz wako wowote ule

Humu jf kila mtu n boss anakampun bila shaka utapata tu

Mambo yakibana sana nitaangalia namna uje tusaidizane kuziba pancha baiskeli za watu hapa kange Tanga
Sio kweli kwamba kila mtu ni boss humu na ana kampuni yake mkuu 😂 hapo umetoa boko
 
Fanya editing ya uzi wako mkuu ama lah fungua hata uzi mwingine uelezee elimu yako, kazi unazoweza kufanya, sehemu uliyopo, namba ya simu (kama inawezekana).

Ili wanaoweza kukusaidia iwe rahisi kukupata ama lah pa kuanzia kukusaidia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…