Nisaidieni kazi yoyote ya halali. Mimi ni Mhitimu mpya wa Chuo

Wakuu niaje,

Mimi ni recent graduate wa Bsc. Environmental Sciences and Management kutoka SUA.

Naombeni mnishike mkono kwa yeyote mwenye kazi ya halali walau nipate chochote kitu.

Natanguliza shukrani zangu za dhati.
Hiyo salamu yako tu ,hata kama mtu alitaka kukuzingatia atashindwa ,anaweza jua wewe ni muhuni ila kumbe sioo ni salamu ya hiyo niaje tu ,rekebisha uwasilishaji
 
Habari,

Mimi ni recent graduate wa Bsc. Environmental Sciences and Management kutoka SUA.

Naombeni mnishike mkono kwa yeyote mwenye kazi ya halali walau nipate chochote kitu.

Natanguliza shukrani zangu za dhati.
Jaribu kwenda NEMC ofisin kwao huenda wewe wakakukubalia hata internship, mimi walinizungusha huenda sababu nimesoma BSc. Forestry... all the best mkuu
 
Habari,

Mimi ni recent graduate wa Bsc. Environmental Sciences and Management kutoka SUA.

Naombeni mnishike mkono kwa yeyote mwenye kazi ya halali walau nipate chochote kitu.

Natanguliza shukrani zangu za dhati.

Kama ni SUA basi tena.

Hii ndii ile degree mnasoma kemia,baioloji,hesabu na geography sio?

Na watu wazima mna akili timamu mkasoma hizo takataka kabisa?
 
Back
Top Bottom