Lady ammy
Member
- Sep 10, 2024
- 87
- 175
Naweza nikakusaidia kukuconnect kazi ya day work kwa week unaingia mara mbili au mara Tatu inaweza ikakusaidia kipind unatafuta kazi ya permanentUpo mkoa gan
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naweza nikakusaidia kukuconnect kazi ya day work kwa week unaingia mara mbili au mara Tatu inaweza ikakusaidia kipind unatafuta kazi ya permanentUpo mkoa gan
Kiroba bei gani ukibeba?Viroba zaidi ya 200 per day unaweza?
Mcheck PM Mama watotoNaweza nikakusaidia kukuconnect kazi ya day work kwa week unaingia mara mbili au mara Tatu inaweza ikakusaidia kipind unatafuta kazi ya permanent
Juu kuna post kasema yupo Dar Kimara.Naweza nikakusaidia kukuconnect kazi ya day work kwa week unaingia mara mbili au mara Tatu inaweza ikakusaidia kipind unatafuta kazi ya permanent
Hawalipi kwa kiroba wanalipa kwa sikuKiroba bei gani ukibeba?
Usimkatishe tamaaKama ni SUA basi tena.
Hii ndii ile degree mnasoma kemia,baioloji,hesabu na geography sio?
Na watu wazima mna akili timamu mkasoma hizo takataka kabisa?
Alafu malipo buku saba kama ya chawa wa lumumba Cc. Lucas MwashambwaViroba zaidi ya 200 per day unaweza?
Ukitega mfano ukajificha chooni?Hawalipi kwa kiroba wanalipa kwa siku
Aje pm nione kama nitaweza kumsaidiaMpe hio pande PM Mama watoto
Mcheck PM Mama watoto yupo Kimara Temboni, DarUsimkatishe tamaa
Wewe mcheck PM chap Mama watotoAje pm nione kama nitaweza kumsaidia
Uzoefu unajengwa mkuu hauzaliwi naoSasa km sio mzoefu unaenda kujiua
Bas itakuwa vizuri kama yupo darJuu kuna post kasema yupo Dar Kimara.
Hulipwi labda uibe nguo zako utoke unyoyaUkitega mfano ukajificha chooni?
Mh elf7!Alafu malipo buku saba kama ya chawa wa lumumba Cc. Lucas Mwashambwa
Ndio yupo Dar Kimara Temboni Mama watoto mcheck PM mara 1Bas itakuwa vizuri kama yupo dar
Malipo buku 7 kwa siku?Mh elf7!
SawaNdio yupo Dar Kimara Temboni Mama watoto mcheck PM mara 1
Nenda kazoee kubeba zege basi utwishwe ndoo ya lita 20 kupandisha ghorofani ndoo zikifika 10 km hujanya mavi magumu sio mimiUzoefu unajengwa mkuu hauzaliwi nao