Nisaidieni kazi yoyote ya halali. Mimi ni Mhitimu mpya wa Chuo

Habari,

Mimi ni recent graduate wa Bsc. Environmental Sciences and Management kutoka SUA.

Naombeni mnishike mkono kwa yeyote mwenye kazi ya halali walau nipate chochote kitu.

Natanguliza shukrani zangu za dhati.
Mchek Dotto Magari
 
Asante nitashukuru sana aseee๐Ÿ™
Naweza nikakusaidia kukuconnect kazi ya day work kwa week unaingia mara mbili au mara Tatu inaweza ikakusaidia kipind unatafuta kazi ya permanent
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ