Financial Analyst
JF-Expert Member
- Nov 27, 2017
- 1,849
- 3,506
Zina muundo mzuri sana.Ni gari nzuri sana kwanza ina uzani mzuri wa kuhimili barabarani ukilinganisha na gari za saizi yake, ipo juu kiasi, bodi ni imar/ngumu kama ya rav4 old, comfot iko vizuri pia, dashboard yake iko poa kama za magari ya ulaya, spea zipo za kumwaga, engine yake ni 1ZZ-FE ambayo ipo ktk Premio, Wish, Allion, Rav4, Fielder, nk. Ambazo mafundi hadi chini ya muembe wapo.
NB: Uzima wa gari ni matunzo.
Mkuu na sisi wenye corola 100 spare zinatengenezwa?Zina muundo mzuri sana.
Vp lakini, nilisikia mtu anasema zilitolewa katika uzalishaji, kwa hio eti spea zake ni za shida dukani,
Hii ni kweli mkuu?
Sijakuelewa mkuuMkuu na sisi wenye corola 100 spare zinatengenezwa?
Muonekano ni mzuri sana tu, tena ni nje na ndani.Zina muundo mzuri sana.
Vp lakini, nilisikia mtu anasema zilitolewa katika uzalishaji, kwa hio eti spea zake ni za shida dukani,
Hii ni kweli mkuu?
Habarini wakubwa,
Nisaidieni kujua kuhusu voltz. Ukulaji wake wa mafuta, matunzo yanayofaa, disadvantages zake na advantages
Bei ya voltz 2008, 2006 na 2002.
Karibuni wakubwa.
Wish ya 2010 ni bei gani kwa yard za bongo?Achana nayo mkuu gari ya zamani hii hata uzalishaji wake umesitishwa..so utahangaika spea
Pia re-sale value yake ni ndogo mno
Alternative chukua wish kuanzia 2010
Spea zinatengenezwa hadi za corona. Ni wewe tuMkuu na sisi wenye corola 100 spare zinatengenezwa?
Ni spea gani ya Volts ambayo hipatikani mkoani?Achana nayo mkuu gari ya zamani hii hata uzalishaji wake umesitishwa..so utahangaika spea
Pia re-sale value yake ni ndogo mno
Alternative chukua wish kuanzia 2010
Hahahhah nashangaa, mkuu naipenda voltz, mimi sio mtalaam wa magari, kwa hio nisihofu kuhuusu spea right?, mimi i dont care about resale priceTanzania ni raha sana, Voltz ya 2004 ni ya zamani sana ila Rav4 ya 1998 sio.
Unaipendea nini hiyo gari mkuu? Isije kuwa kukosa exposure ya kujua magari mengine kunakuponza ndio maana unataka kununua hilo shipa. Hebu tuanzie kwanza kipengele kimoja baada ya kingine mfano driving experience, je umeshawahi kuiendesha?Hahahhah nashangaa, mkuu naipenda voltz, mimi sio mtalaam wa magari, kwa hio nisihofu kuhuusu spea right?, mimi i dont care about resale price
Unafikiri kwanini Voltz ilizalishwa kwa miaka 2 tu kuwa discontinued tofauti na Rav 4?Tanzania ni raha sana, Voltz ya 2004 ni ya zamani sana ila Rav4 ya 1998 sio.
7bu Toyota haikuwa zao lao bali wao ni wabia/ubia kwa ajili ya mauzo/soko, ndio maana kuna nembo yao. Kuitengeneza wao hadi makubaliano kati yao na wamiliki.Unafikiri kwanini Voltz ilizalishwa kwa miaka 2 tu kuwa discontinued tofauti na Rav 4?
Hapana sio kweli. Tatizo lilikuwa mauzo kiduchu sana kwenye soko ambapo iliuza units elfu kumi tu ndani ya miaka miwili7bu Toyota haikuwa zao lao bali wao ni wabia/ubia kwa ajili ya mauzo/soko, ndio maana kuna nembo yao. Kuitengeneza wao hadi makubaliano kati yao na wamiliki.
Kwa hiyo unataka kutuaminisha kuwa haikununuliwa kwa 7bu ni mmbovu ama?Hapana sio kweli. Tatizo lilikuwa mauzo kiduchu sana kwenye soko ambapo iliuza units elfu kumi tu ndani ya miaka miwili