Unaipendea nini hiyo gari mkuu? Isije kuwa kukosa exposure ya kujua magari mengine kunakuponza ndio maana unataka kununua hilo shipa. Hebu tuanzie kwanza kipengele kimoja baada ya kingine mfano driving experience, je umeshawahi kuiendesha? Pili, muonekano ( it’s one of the worst looking)! Tatu, fuel economy sio one of the fuel economical. Nne, performance yake sio nzuri ukilinganisha gari za same class. Tano, spares zake pia sio cheap. Na mwisho kabisa umejiuliza Kwann hiyo gari ilizalishwa ndani ya muda mfupi(2002-2004) kuwa discontinued baada ya kupata mauzo kiduchu sana ya gari 10k tu ?