Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣😄😄 Acha tuendelee kuendesha ma S-Series/7-series huku ndotoni mkuu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣😄😄 Acha tuendelee kuendesha ma S-Series/7-series huku ndotoni mkuu.
S series ndio gari ipi mkuu? Samahani kwa usumbufu😄😄 Acha tuendelee kuendesha ma S-Series/7-series huku ndotoni mkuu.
S-class,typo.S series ndio gari ipi mkuu? Samahani kwa usumbufu
Ok mkuu lakini tukiweka mahaba penbeni Voltz sio gari ya kumshauri mtu kununua kwa sababu at the same price anaweza kupata better options kakaS-class,typo.
Mkuu Mimi hio gari siwezi kuinunua tu kwa vile siipendagi tu ilivyo/sijawahi kuvutiwa nayo.Ok mkuu lakini tukiweka mahaba penbeni Voltz sio gari ya kumshauri mtu kununua kwa sababu at the same price anaweza kupata better options kaka
Kubali tu kwamba kuna magari huwa yanachoka haraka tena vibaya. Hii wakati mwingine inasababishwa na structure ya body.Kama unaijua vizuri na unasema ni nzuri sana basi ukiona imechakaa basi mmiliki alishindwa kuitunza maana ukiichakaza Voltz kwa miaka 5, basi miliki LAND-Cruiser la Polisi maana kwa hizi tu kina Wish, Premio, Opper, Noah, Allion, Carrina, Ist, Mark II, Runx, Allex nk, utazichakaza kwa mwaka mmoja tu na kuuza skrepa mkuu.
KITUNZE KIDUMU.
Kazi Kama zipi hizo mkuu?Kubali tu kwamba kuna magari huwa yanachoka haraka tena vibaya. Hii wakati mwingine inasababishwa na structure ya body.
Kwa mfano kazi inazofanya Carina au Toyota corolla au Corona Premio ikifanya VOTZ itachoka sana, haraka tena vibaya.
VOTZ ni mmojawapo. tafuta VOTZ used zinazouzwa hapa Bongo kwa mfano namba D za mwanzo linganisha na gari zingine za muda huo huo ulizotaja hapo juu utaona.Kazi Kama zipi hizo mkuu?
Mkuu nimeuliza khs hizo kazi ulizozisema.VOTZ ni mmojawapo. tafuta VOTZ used zinazouzwa hapa Bongo kwa mfano namba D za mwanzo linganisha na gari zingine za muda huo huo ulizotaja hapo juu utaona.
Kazi za usafirishaji.Mkuu nimeuliza khs hizo kazi ulizozisema.
Sawa mkuu.Kazi za usafirishaji.
Kuna sehemu Carina TI, Corolla na Corona Premio old model ndio usafiri mkuu.
Zinaendesha maisha ya vijana na zinatajirisha vijana kwa nyanja ya ushafirishaji wa abiria na Mizigo midogo midogo.
mkuu nipo nje ya mada,Kuna gari Ni landcruiser V8 VXR ya mwaka 2020,nimeshindwa kuset navigation system isome locations za hapa Tanzania,unanisaidiaje?Voltz, Vista, Opa hizo gari zina mfanano tena bora hata Opa iliuza uza toka 2000-2005 ila hao wengine ni hewa tu. Vista ina generations 5 ila ya mwisho ndio ilikuwa mbovu kishenzi.
Ni gari nzuri kuna hii 8M tu unajichukulia gariHabarini wakubwa,
Nisaidieni kujua kuhusu voltz. Ukulaji wake wa mafuta, matunzo yanayofaa, disadvantages zake na advantages
Bei ya voltz 2008, 2006 na 2002.
Karibuni wakubwa.
New model ya bongo ni gari imbayo ilitengenezwa takriban miaka 15 iliyopita Japan.Tanzania ni raha sana, Voltz ya 2004 ni ya zamani sana ila Rav4 ya 1998 sio.
Hiyo hapo angalia bodi yake, kwa namba DJE ni usajili wa 2016.Kazi za usafirishaji.
Kuna sehemu Carina TI, Corolla na Corona Premio old model ndio usafiri mkuu.
Zinaendesha maisha ya vijana na zinatajirisha vijana kwa nyanja ya ushafirishaji wa abiria na Mizigo midogo midogo.
Ok mkuu lakini tukiweka mahaba penbeni Voltz sio gari ya kumshauri mtu kununua kwa sababu at the same price anaweza kupata better options kaka
Toyota wish nayo uzalishaji wake ulishastishwa pia. Uzuri wa gari za toyota spea zinaingiliana kwa gari nyingi sana. Unakuta gari ya mwaka 2000 inaingiliana na gari ya mwaka 2010 na kuendelea.Achana nayo mkuu gari ya zamani hii hata uzalishaji wake umesitishwa..so utahangaika spea
Pia re-sale value yake ni ndogo mno
Alternative chukua wish kuanzia 2010
Katika kitu huwa tunakosea ni kumwambia mtu kuwa inamuonekano mbaya, huo ni mtazamo wako, tunaweza kusema leta gari unayoona ww inamuonekano mzuri na bado kuna watu watakuambia inamuonekano mbaya pia.Unaipendea nini hiyo gari mkuu? Isije kuwa kukosa exposure ya kujua magari mengine kunakuponza ndio maana unataka kununua hilo shipa. Hebu tuanzie kwanza kipengele kimoja baada ya kingine mfano driving experience, je umeshawahi kuiendesha? Pili, muonekano ( it’s one of the worst looking)! Tatu, fuel economy sio one of the fuel economical. Nne, performance yake sio nzuri ukilinganisha gari za same class. Tano, spares zake pia sio cheap. Na mwisho kabisa umejiuliza Kwann hiyo gari ilizalishwa ndani ya muda mfupi(2002-2004) kuwa discontinued baada ya kupata mauzo kiduchu sana ya gari 10k tu ?
Umenena vema sana. Tatizo sisi wabongo tunapenda kulazimisha mtu apende unacho kipenda jambo ambalo sio zuri. Sisi tunatakiwa kumwambia changamoto za gari na siokumwambia inamuonekano mbaya au ni yazamani.Usikhofu mkuu, ni gari nzuri tu, na ndio maana hakuna anaeelezea tatizo la hii gari ni nini hasa, kuuza kingi au kidogo sokoni ni mahitaji ya mnunuzi kwa mahitaji yake. Ni sawa na kwenda dukani ukanunua chumvi na sukari, kipi utanunu kingi au kidogo. Sisi wa Tz kila gari kwetu ni mbaya na tukiambiwa ubaya wake ni nini tunashindwa kuutaja, kala hili Engine ya 1ZZ ikiwa ktk Voltz inakuwa mbovu na pea zake ni Gharama ila ikiwa ktk Premio inakuwa nzuri na spea ni rahisi. Kitu ambacho hakiingii akilini.
Kila gari inachakaa vibaya kama sio mtunzajiInachakaa vibaya ile gari hakuna mfano.