Rsm0087
JF-Expert Member
- Jul 12, 2019
- 361
- 893
Eleza changamoto za hyo gari na sio mahaba yakoMueleze huyo jamaa keshashikwa na mahaba ya Voltz hataki hata kuelewa wala kuambiwa la mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Eleza changamoto za hyo gari na sio mahaba yakoMueleze huyo jamaa keshashikwa na mahaba ya Voltz hataki hata kuelewa wala kuambiwa la mkuu
Au wa starlet za mwaka 96Mkuu na sisi wenye corola 100 spare zinatengenezwa?
Umehoji vitu vya Kipumbavu. Wewe Jamaa yako au demu wako umempendea nini? Kila mtu ana choice ya kupenda au kutopenda kitu. Hilo ukiwa na akili timamu huwezi uliza.Unaipendea nini hiyo gari mkuu? Isije kuwa kukosa exposure ya kujua magari mengine kunakuponza ndio maana unataka kununua hilo shipa. Hebu tuanzie kwanza kipengele kimoja baada ya kingine mfano driving experience, je umeshawahi kuiendesha? Pili, muonekano ( it’s one of the worst looking)! Tatu, fuel economy sio one of the fuel economical. Nne, performance yake sio nzuri ukilinganisha gari za same class. Tano, spares zake pia sio cheap. Na mwisho kabisa umejiuliza Kwann hiyo gari ilizalishwa ndani ya muda mfupi(2002-2004) kuwa discontinued baada ya kupata mauzo kiduchu sana ya gari 10k tu ?
Wewe utakuwa unamiliki shipa la Voltz unataka kumshikisha mtu afe naloUmehoji vitu vya Kipumbavu. Wewe Jamaa yako au demu wako umempendea nini? Kila mtu ana choice ya kupenda au kutopenda kitu. Hilo ukiwa na akili timamu huwezi uliza.
Mimi namilki shipa tu.Wewe utakuwa unamiliki shipa la Voltz unataka kumshikisha mtu afe nalo
Mkuu, habari yako? Ninahisi kuna jambo hulifahamu kuhusu Toyota Voltz. Hizi gari zilitengenezwa kwa mradi wa mashirikiano kati ya General Motors (USA) na Toyota. Hizi gari zilitengenezwa California, USA. Huko USA ziliitwa Pontiac Vibe.Mueleze huyo jamaa keshashikwa na mahaba ya Voltz hataki hata kuelewa wala kuambiwa la mkuu