Nisaidieni kuhusu Toyota Voltz; Uimara, mafuta, matunzo, bei

Ok mkuu lakini tukiweka mahaba penbeni Voltz sio gari ya kumshauri mtu kununua kwa sababu at the same price anaweza kupata better options kaka
Mkuu Mimi hio gari siwezi kuinunua tu kwa vile siipendagi tu ilivyo/sijawahi kuvutiwa nayo.
 
Kubali tu kwamba kuna magari huwa yanachoka haraka tena vibaya. Hii wakati mwingine inasababishwa na structure ya body.

Kwa mfano kazi inazofanya Carina au Toyota corolla au Corona Premio ikifanya VOTZ itachoka sana, haraka tena vibaya.
 
Kazi Kama zipi hizo mkuu?
 
VOTZ ni mmojawapo. tafuta VOTZ used zinazouzwa hapa Bongo kwa mfano namba D za mwanzo linganisha na gari zingine za muda huo huo ulizotaja hapo juu utaona.
Mkuu nimeuliza khs hizo kazi ulizozisema.
 
Mkuu nimeuliza khs hizo kazi ulizozisema.
Kazi za usafirishaji.
Kuna sehemu Carina TI, Corolla na Corona Premio old model ndio usafiri mkuu.
Zinaendesha maisha ya vijana na zinatajirisha vijana kwa nyanja ya ushafirishaji wa abiria na Mizigo midogo midogo.
 
Sawa mkuu.
 
Voltz, Vista, Opa hizo gari zina mfanano tena bora hata Opa iliuza uza toka 2000-2005 ila hao wengine ni hewa tu. Vista ina generations 5 ila ya mwisho ndio ilikuwa mbovu kishenzi.
mkuu nipo nje ya mada,Kuna gari Ni landcruiser V8 VXR ya mwaka 2020,nimeshindwa kuset navigation system isome locations za hapa Tanzania,unanisaidiaje?
 
Habarini wakubwa,

Nisaidieni kujua kuhusu voltz. Ukulaji wake wa mafuta, matunzo yanayofaa, disadvantages zake na advantages

Bei ya voltz 2008, 2006 na 2002.

Karibuni wakubwa.
Ni gari nzuri kuna hii 8M tu unajichukulia gari
 
Attachments

  • ejx6cj.jpg
    47.5 KB · Views: 55
  • IMG-20230118-WA0008.jpg
    46.2 KB · Views: 59
  • IMG-20230118-WA0005.jpg
    35.5 KB · Views: 53
Kazi za usafirishaji.
Kuna sehemu Carina TI, Corolla na Corona Premio old model ndio usafiri mkuu.
Zinaendesha maisha ya vijana na zinatajirisha vijana kwa nyanja ya ushafirishaji wa abiria na Mizigo midogo midogo.
Hiyo hapo angalia bodi yake, kwa namba DJE ni usajili wa 2016.
2023-2016=07 yrs.
Hivi mkuu bidi ya Voltz wewe binafsi unaifananisha na bidi ya gari gani?
 
Ok mkuu lakini tukiweka mahaba penbeni Voltz sio gari ya kumshauri mtu kununua kwa sababu at the same price anaweza kupata better options kaka

Huu ndo ukweli.ni kukosa exposure tu.yaanVoltz??2023?? No way
 
Achana nayo mkuu gari ya zamani hii hata uzalishaji wake umesitishwa..so utahangaika spea
Pia re-sale value yake ni ndogo mno

Alternative chukua wish kuanzia 2010
Toyota wish nayo uzalishaji wake ulishastishwa pia. Uzuri wa gari za toyota spea zinaingiliana kwa gari nyingi sana. Unakuta gari ya mwaka 2000 inaingiliana na gari ya mwaka 2010 na kuendelea.

Pia kwa uimara na muonekano mzuri, voltz ina muonekano mzur kuliko wishi na ni imara zaidi kuliko wish new labda old kidogo.
 
Katika kitu huwa tunakosea ni kumwambia mtu kuwa inamuonekano mbaya, huo ni mtazamo wako, tunaweza kusema leta gari unayoona ww inamuonekano mzuri na bado kuna watu watakuambia inamuonekano mbaya pia.

Kila mtu hutazama kitu na kuvutiwa tofauti na mwingine, unachopenda ww kwa mwingine ni chukizo.
 
Umenena vema sana. Tatizo sisi wabongo tunapenda kulazimisha mtu apende unacho kipenda jambo ambalo sio zuri. Sisi tunatakiwa kumwambia changamoto za gari na siokumwambia inamuonekano mbaya au ni yazamani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…