Nisaidieni kujua kwanini huyu kaka kaniganda kwa miaka minne

Sasa si umwambie akajitambulishe kwenu.

Nilichoelewa unataka jibu la je, anataka kukuoa kweli ama la.
Ila hujasisitiza kama uko serious ma kumkataa kwako

Mbona jibu jepesi, mwambie akajitambulishe kwenu, na mshenga aambiwe na mahari, hadi akifika huko utajua kams ana dhamiria.

Ila kama humtaki si umchane humtaki, unamchanganya unavyosema hutaki ndoa, mwezako anajua unampenda ila hutaki ndoa tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ