Nisaidieni kujua kwanini huyu kaka kaniganda kwa miaka minne

Kuna kademu nilikafukuzia sana kakawa kanaringa sana maana kipindi hicho kalikuwa kanatongozwa sana.

Nikachoka nikaamua nikapotezee aise tukapotezana kama mwaka da juzi nimekutana nako juzi kameshazalishwa na kamekonda vibaya sans mpaka huruma.

Kakaanza kunichekea nilikasalimia kama sikajui.huku kanaona aibu.yani kamefuria mpaka kamekausha.

Funzo, nyie wanawake acheni nyodo na kujiona jumlisha na dharau.muda wenu ni mfupi sana .

Wewe mtoa mada wewe endelea kumringia jamaa miaka kadhaa mbele utaita wanaume wote ni mbwa
.
 
Ntakufata ata ww
 
Mripoti kwa Dorothy Gwajima asap
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…