Qashy Lilith
JF-Expert Member
- Aug 30, 2024
- 1,508
- 2,965
- Thread starter
- #261
Aya mkuu😂Kwishaaaa
Anz dayati
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aya mkuu😂Kwishaaaa
Anz dayati
Eeeh mbona umezeeka hivyo 30 parefu ujueNina 30 saizi
Kila mtu atazeekaEeeh mbona umezeeka hivyo 30 parefu ujue
Sio miingi ....ila ndoa si ya Kila mtuKwaiyo na wewe miaka yote hiyo hujaolewa tu
Umeolewa!!Kila mtu atazeeka
Ntakufata ata wwKuna kademu nilikafukuzia sana kakawa kanaringa sana maana kipindi hicho kalikuwa kanatongozwa sana.
Nikachoka nikaamua nikapotezee aise tukapotezana kama mwaka da juzi nimekutana nako juzi kameshazalishwa na kamekonda vibaya sans mpaka huruma.
Kakaanza kunichekea nilikasalimia kama sikajui.huku kanaona aibu.yani kamefuria mpaka kamekausha.
Funzo, nyie wanawake acheni nyodo na kujiona jumlisha na dharau.muda wenu ni mfupi sana .
Wewe mtoa mada wewe endelea kumringia jamaa miaka kadhaa mbele utaita wanaume wote ni mbwa
.
BadoUmeolewa!!
Una mtoto?Bado
Njoo tumleeUna mtoto?
Eeh ana miaka mingapi!?Njoo tumlee
Ana mwaka na miezi miwili babake kafarikiEeh ana miaka mingapi!?
Babaake yuko wapi?.
N.b nataka tutengeneze mtoto sio tulee mtoto! 🤗🤗
Kwahio tutengeze alafu ukose kuleaEeh ana miaka mingapi!?
Babaake yuko wapi?.
N.b nataka tutengeneze mtoto sio tulee mtoto! 🤗🤗
Tutalea tukishapata na wangu!Kwahio tutengeze alafu ukose kulea
Nakuja pm ❤️😍😍😍Ana mwaka na miezi miwili babake kafariki
Sawa karibu tulee✅Nakuja pm ❤️😍😍😍
DuhTutalea tukishapata na wangu!
Mripoti kwa Dorothy Gwajima asapHabari zenu Wana Jf naomba nieleze kwa ufupi ...Mimi ni binti WA kike ila Kuna mkaka nilikiwa nae kwenye mahusiano nikiwa sekondari ila nlimuacha baada ya kugundua alinificha kuwa alikuwa na mtoto
Mara kadhaaa tangu kuachana nae amekuwa akinitafuta kwa miaka minne tokea 2020 na kusem kuwa anatka kunioa ila kila akinitafuta namwambia sipo Tyr kwa ndoa ...nikmwambia sitaki ndoa anakubali kabisa hatnisumbua tena ila baada ya siku kadhaa bado anarudi na lile lile swala lake la kunioa ..
Je huyu mkaka atakuwa amemaanisha kunioa au anataka kuniigiza Cha kiume?!