Nisaidieni kujua zaidi kuhusu mti wa mjohoro (cassia siamea)

Nisaidieni kujua zaidi kuhusu mti wa mjohoro (cassia siamea)

TheGreatest Of AllTime

JF-Expert Member
Joined
Mar 14, 2025
Posts
207
Reaction score
679
Je Ni mzuri wa kivuli haupukutishi matawi ovyo ovyo, unakuwa haraka, maua yake hayatoi harufu kali, etc,?

Karibuni
Screenshot_20250801-172322.png
 
Ni mizuri ila ikifika muda wa kupuputisha majani inapuputisha
 
Hapa inatakiwa wajuzi wa miti na maua ndo watoa majibu sahihi
 
Ina kimvuli kizuti lakini jiandae nakufagia maua na hayo majani unfortunately maua hupukutika msimu wa mvua.

Pia mti huu una pendwa sana na wadudu sisimizi wakubwa hivi weusi na wale ants wakubwa.
Maua yake wala majani havitoi harufu kali ipo moderate tu na hadi uyasogelee sana ndo utasikia.
Mti huu haufai kwa matumizi ya ya nyumbani as utaongeza kazi tu za usafi
 
Back
Top Bottom