Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sema sio vizuri anavyofanya ila nawewe usijirahisishe kiasi hicho mlie buyu hata kama unamuelewa. Upendo bila kila mmoja kuwa responsible kwa mwenzake ni utumwa. Usipobadilika atakutesa na kukunyanyasa sana.Duh, ndo basi tena hapo maeneo wakati wa uumbaji kufika zamu yangu udongo ukawa umeisha wa kujazia jazia.
huu ni ukweli mchungu mwamba kapata kipoozeo cha uhakika ata akikaa kimya baada ya mda atampata tu.Hakupendi anakupotezea mda
Mi sio mtoto, sema kuna kimoja hapo umegonga mule mule.Eidha ni mtoto mwenzio, below 25 yrs au hana hela, kitandani ni butu, au hajawahi kua na pisi kali kama wewe au vyote.
Hivyo hajiamini anahisi anachapiwa, anahisi una wanaume wengi wa kukupa ambavyo yeye hana.
Kua na mahusiano na mtu asiejiamini ni kazi sana, kila mda anahisi unamcheat.
Pole sana.
Inaonekana wote wawili bado hamjajua mnataka nni hasa huyo msela ........ tafta pesa move on ......maisha yakuhangaishe bado mapenzi ya kitoto nayo yakuhangaishe vipi utatoboa kweliHivi mwanaume unakuwaje hueleweki, ulikua na crush na mdada wa watu mwaka mzima mkavunja ukimya mkawa kwenye mahusiano.
Badae unaanza kubadilika unapunguza mapenzi, mwenzio anakuuliza kwanini unabadilika, unadai unaogopa udate naye hata miaka mitatu alafu usimuoe, na mtu hata hajakuambia anashida na ndoa na wewe ni upendo tu na kutaka kuwa na mahusiano nawewe, anakuuliza basi akupe space maybe utampenda badae ukasema huwezi.
Basi mtoto wa watu akaona ajiweke pembeni mapema japo inauma, sasa cha ajabu kila anavojiweka mbali unamwambia kakukasirikia, na hapo hapo akikuambia anakupenda unamjijibu acha hizo.
Sasa huyu mtu nimuweke kundi gani jamani, nilishampotezeaga mwezi mzima na namba nikafuta cha ajabu ye ndo akarudi na gia ya umemaliza kuninunia Nikasema heee kumbe nilinuna.
Huwezi kuwa na chura ukawa na akiliHauna chura
Mi sio mtoto
Mbona buyu nakula sana tu, na shobo nimeacha kabisa.sema sio vizuri anavyofanya ila nawewe usijirahisishe kiasi hicho mlie buyu hata kama unamuelewa. Upendo bila kila mmoja kuwa responsible kwa mwenzake ni utumwa. Usipobadilika atakutesa na kukunyanyasa sana.
acha kumwambia unamp usimnyenyekee atakuburuza vibaya mnoMbona buyu nakula sana tu, na shobo nimeacha kabisa.
Bila shaka ni butu.Mi sio mtoto, sema kuna kimoja hapo umegonga mule mule.