Nisaidieni kumuelewa huyu mwanaume

Nisaidieni kumuelewa huyu mwanaume

Wanawake ni snichers sio wa kuamini haraka, akikuambia I miss u muuliza umemiss kipi hasa kutoka kwangu mimi au wallet yangu......hakuna love hapo bongo ni wizi mtupu nakupoteza mda.
It sounds truu
 
Hivi mwanaume unakuwaje hueleweki, ulikua na crush na mdada wa watu mwaka mzima mkavunja ukimya mkawa kwenye mahusiano.

Badae unaanza kubadilika unapunguza mapenzi, mwenzio anakuuliza kwanini unabadilika, unadai unaogopa udate naye hata miaka mitatu alafu usimuoe, na mtu hata hajakuambia anashida na ndoa na wewe ni upendo tu na kutaka kuwa na mahusiano nawewe, anakuuliza basi akupe space maybe utampenda badae ukasema huwezi.

Basi mtoto wa watu akaona ajiweke pembeni mapema japo inauma, sasa cha ajabu kila anavojiweka mbali unamwambia kakukasirikia, na hapo hapo akikuambia anakupenda unamjijibu acha hizo.

Sasa huyu mtu nimuweke kundi gani jamani, nilishampotezeaga mwezi mzima na namba nikafuta cha ajabu ye ndo akarudi na gia ya umemaliza kuninunia Nikasema heee kumbe nilinuna.
We ni kipozeo chake Cha nyege Ila mpenzi wake ni mtu mwingine na anakufanyia hivo maana kakuona mwepeeeesi
 
Mvumilie wanaume ni wachache na katika hao wachache wengi wameoa tayari unamuacha leo Kesho anabadilika anakuwa mtu smart anachukuliwa na wengine the easy thing is to stay with him forever.
 
Hapana napingana na wewe maisha ni mafupi sana kuvumilia vitu ambavyo havinipi furaha ni kitu siwezagi, alafu wanaume hamjaisha kiivo mpaka ning'ang'anie hapo wakati naona tu kwa picha hamna kitu, alafu nilisha move on hata ikitokea miujiza eti anipende siwezi kukubali tena, mi naamini mwanaume asipokupenda toka mwanzo, hawezi kukupenda baadaye.
Mvumilie wanaume ni wachache na katika hao wachache wengi wameoa tayari unamuacha leo Kesho anabadilika anakuwa mtu smart anachukuliwa na wengine the easy thing is to stay with him forever.
 
Back
Top Bottom