Nisaidieni kumuelewa huyu mwanaume

Duh, ndo basi tena hapo maeneo wakati wa uumbaji kufika zamu yangu udongo ukawa umeisha wa kujazia jazia.
sema sio vizuri anavyofanya ila nawewe usijirahisishe kiasi hicho mlie buyu hata kama unamuelewa. Upendo bila kila mmoja kuwa responsible kwa mwenzake ni utumwa. Usipobadilika atakutesa na kukunyanyasa sana.
 
Mi sio mtoto, sema kuna kimoja hapo umegonga mule mule.
 
πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ™Œ
 
Inaonekana wote wawili bado hamjajua mnataka nni hasa huyo msela ........ tafta pesa move on ......maisha yakuhangaishe bado mapenzi ya kitoto nayo yakuhangaishe vipi utatoboa kweli
 
Aaaah weee najielewa sana tu, ndo maana nilivoona dalili ya kuwa kwenye mahusiano yasiyoeleweka yanahusiana na nini, nimuulize kuona kama tupo njia moja au lal nikuta nasafiri mwenyewe, nisichomuelewa ni hiyo tabia ya kujirudisha na kusema nimemkasirikia wakati nimeamua kuachilia.
 
Hao watoto wanaovaa mashati na matisheti ya mapicha picha achana nao, huyo anakuona wewe ni mtoto mwezake hivyo amekuweka kwenye list ya kipoozeo tuu..

Tafuta mwanaume haswa

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Kuna watoto wa kiume, wavulana na wanaume huyo atakuwa bado ni mtoto wa kiume ndo anaelekea kwenye uvulana mpaka awe mwanaume ndo hyo akasema anaweza date na mtu miaka 3 asimuoe inshort huyo hakufai

Kwanza hajiamin wenda hata show ni mbovu, pia utoto mwingi ndo ile baby kweli ulinipenda na ashaambiwa anapendwa mwache tu atafte waschana kama yeye alivyo mvulana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…