logania
JF-Expert Member
- May 19, 2016
- 464
- 313
Mtoa mada huwa unakurupuka na hii hoja ya lugha, kila mara ukianzisha huwa tunakujibu halafu unasubiri miezi michache unarudia yale yale maneno.
Kenya tunafundishwa Kingereza kuanzia chekechea hivyo sio tabu, ila cha msingi tunajivunia uwezo wa kuongea lugha nyingi, hatujafungiwa kwenye lugha moja kama kondoo na mbuzi.
Tunaongea lugha zetu za asili, na pia tunaongea hizi na kuletwa kama vile Kiswahili cha Mwarabu wakati alikua anawabaka Waafrika na Kingereza cha Mzungu.
Hamna kitu kitamu kama kuwa na uwezo wa kubadilisha badilisha lugha, inaongeza hata uwezo wa kufikiri, ukizoea lugha moja unaishia kuwa limbumbumbu fulani hivi. Hata nchi za Ughaibuni kama vile Marekani, utakuta wengi wanaongea Kingereza na lugha zingine tano hivi.
I agree with you on this one...Being conversant with one international language and a regional language is actually a plus. The whole (most) world uses at least one international language...The ease of use and switching from one language to another is a good thing. There is a sizable population of English speakers as there are Swahili speakers in Kenya....Sio lazima ufasaha uwepo katika hizo lugha mradi ujumbe umefika...