Nisaidieni kuwaelewa Wakenya!

Nisaidieni kuwaelewa Wakenya!

Mtoa mada huwa unakurupuka na hii hoja ya lugha, kila mara ukianzisha huwa tunakujibu halafu unasubiri miezi michache unarudia yale yale maneno.

Kenya tunafundishwa Kingereza kuanzia chekechea hivyo sio tabu, ila cha msingi tunajivunia uwezo wa kuongea lugha nyingi, hatujafungiwa kwenye lugha moja kama kondoo na mbuzi.

Tunaongea lugha zetu za asili, na pia tunaongea hizi na kuletwa kama vile Kiswahili cha Mwarabu wakati alikua anawabaka Waafrika na Kingereza cha Mzungu.

Hamna kitu kitamu kama kuwa na uwezo wa kubadilisha badilisha lugha, inaongeza hata uwezo wa kufikiri, ukizoea lugha moja unaishia kuwa limbumbumbu fulani hivi. Hata nchi za Ughaibuni kama vile Marekani, utakuta wengi wanaongea Kingereza na lugha zingine tano hivi.

I agree with you on this one...Being conversant with one international language and a regional language is actually a plus. The whole (most) world uses at least one international language...The ease of use and switching from one language to another is a good thing. There is a sizable population of English speakers as there are Swahili speakers in Kenya....Sio lazima ufasaha uwepo katika hizo lugha mradi ujumbe umefika...
 
mleta mada ni mkurupukaji wa ajabu na hakukosea aliposema "Tanzanians are obsessed with kenyans" period!!!!
 
Watu wanavuruga akili zao sana kuhusu Kenya. Watz acheni kulialia nafasi mnayo ya kuandika katiba yenu mpya. Wasiwasi huu wote mtupilie mbali.
 
Lugha ya mama Lazima as long as yupo nyumbani, lakini kama anawahotubia wamaasai hawezi tumia lugha yake ya mama ila atazungumza kwa kiswahili au kiingereza. It's common sense though not common to all.

Lugha ya mama ni lazima sikatai lakini kiongozi wa nchi sioni kama ni vizuri unless kama Kenya kuna borders within the country yaani ukienda Masai land basi huwezi kuta mkenya yoyote wa kabila lingine so ni lazima uongee kimasai tu.
 
Mfano mmoja kiongozi akiwahutubia wamaasai kikamba?
 
Wewe kama sio chizi basi ni mwenda wazimu, Kenya lugha ya taifa ni kiswahili, na kimetajwa katika katiba yao, wananchi wengi wa Kenya hasa vijijini hawajui kabisa kiingereza, nenda pwani kwa wadigo, waduruma, wakamba, waswahili, au nenda kaskazini kwa Pokot na turkanas, lakusikitisha hata rais wao anapohutubia taifa anatumia English, ukweli ni kwamba Kenya inamatabaka ya watu, tabaka la matajiri na walioelimika ambao wengi wapo mijini hawakipendi kiswahili, na tabaka la watu masikini wasio na elimu ambao ndiyo wengi wanaoishi vijijini na slums za mijini, hawa hutumia kiswahili na serikali haiwajali sana hawa, kwahiyo wanapotaka kura, huenda vijijini na kwenye slums na hutumia kiswahili, wanapokuwa katika ofisi kubwakubwa hutumia English
Mkuu umenena!! Pia kuna wengine hawajui kiswahili wala kiingereza!!wanabutua kiasili tu!
 
[Intro]
Wha me say... Fukin Haterz you know
[Hook]
I'm blind to you haterz
C'yant touch me war instigators »
Me say me where is the love, lately
»
Ask you how the world ah run so »
Said I'm blind to you haterz
C'yant touch me rumor creators
Me say me where is the love, lately
Ask you how the world ah run so
[Verse 1: Collie Buddz]
» When tings dey pop off
Dem a smile and dey laugh
Dem would ah love to see you fall by the waste side
» Dem holla "big up" when pass, PRAY for you down fall fast
And trigger both bomb blasts, like dem nah no pride
Let's give love to the yout dem
When dem brother murder , fe nothing no way
Send out me seeds to the yout dem
Praise the all mighty don't go astray
[Hook]
[Verse 2: Collie Buddz]
» Unu dem dey a talk, that's true me white like chalk
Likkle Pussy Hole Gwan play the race card
»
Dem holla aye p'wan me yard, that's true me modda work hard
Hundred foot dock cause she wan swim in ah the tide
Let's give love to the yout dem
Who Jah bless no man curse no way
Send out message to the yout dem
Only faith cause tomorrow's another day
[Hook]
[Verse 3: Collie Buddz]
Unu cya tell me nothing Mr. Envy
Use the talent and the voice whe God a send me
Nuff people out a road, dem chat and all a friend me
But behind my back dem wan end me
But me nah give a damn, buy house and a piece a land
Me walk in ah me timberland » , no take me for no simpleton
Just true unna see me calm, only God a feed me and
You nah wan see me cross the line, unu betta know
[Hook]
Im blind to you , unu better now (KNOW)
Said Im blind to you , unu better now
 
Jielewe kwanza kabla hujauliza usaidizi.....
 
It really is not a big deal whatever language used. The idea of communication is the dissemination of it ...Whichever way it is done so long as it is received and understood the purpose has been achieved..English,Kiswahili, Sign Language or even Braille.
Sio kweli, kila nchi ina sheria na taratibu na utamaduni wa nchi lazima zizingatiwe, huwezi kuendesha nchi kiholela hivyo, kuna vitu vinaitwa nembo za taifa, vitu kama wimbo wa taifa, bendera ya Taifa, rangi za taifa, pesa ya Taifa na lugha ya Taifa, lazima vilindwe na kuhifadhiwa na sheria za nchi, huwezi kuviachia vitumike holela bila mpangilio, huwezi kuruhusu watu waingie Kenya na waanze kutumia pesa za mataifa yao, au wapandishe bendera za mataifa yao katika ofisi zao, au watumie lugha za mataifa yao wakiwa katika public oficial places bila translators. Lugha ya taifa ni nembo muhimu sana kwa taifa lolote, serikali inawajibu mkubwa wa kuhakikisha inakuwa ndiyo kiunganishi cha wananchi wake kwa kuonyesha kwa vitendo kwa kuitumia katika shughuli zote za kiserikali na mashuleni, michezoni na katika institutions zote za serikali

Sent from my MediaPad T1 8.0 using JamiiForums mobile app
 
Mfano mmoja kiongozi akiwahutubia wamaasai kikamba?

Why uwahutubie lugha mama wakati taifa liko na lugha ya kitaifa. Ukiona hivyo ujue hapo hakuna taifa Bali kuna tower of Babel
 
Sawa naelewa your point of view....But the Kenyans are not complaining on the use of the two languages..These languages have been used for years..They are comfortable with it....I have lived there and have a sizable business there and know it works for them..Different nations and people do things differently...Personally I speak 2 international langues plus Kiswahili and my mother tongue...Those languages have helped in my line of work..The open borders policy I struggle with but then again it's not my country...I would like to imagine it has been thought through...I still think they maintain there sovereignty...
 
Why uwahutubie lugha mama wakati taifa liko na lugha ya kitaifa. Ukiona hivyo ujue hapo hakuna taifa Bali kuna tower of Babel

Kwanza fahamu hizi tunazoita mataifa ni vitu vilibuniwa na mzungu alipokuta babu zetu na kuwagawa. Kawakuta Wamaasai na kuchora mpaka katikati yao hadi leo Mmaasai wa huku hawezi kumtembelea mjomba wake ambaye alijikuta upande wa pili.

Sisi tunaheshimu sana mila na desturi zetu, na ndio maana tunazo redio zinazopeperusha matangazo kwa lugha zetu za asili. Fahamu kwamba ukabila sio lugha, maana kule Somalia wote wa kabila moja, dini moja lakini wanabaguana balaa. Hapo Tanzania mnaongea lugha moja nyote, lakini mnao uchama wa kiajabu, mtu wa Chadema anachukiwa sana na wa CCM, nilishangaa baada ya Tundu Lissu kupigwa marisasi, niliona wafuasi wa CCM wanashabikia huku kwenye mitandao.

Kwetu kiongozi anapokwenda kijijini na kuwakuta akina ajuza, anawaeleza kwa lugha yao ya asili kama anaielewa.
 
Mimi nimekuwa nikimjibu MTU kutokana na swali lake.haya uliyoyaandika Mimi siyaelewi sijazungumzia kubaguana wala kukataa lugha za asili. Nimejibu MTU hapo juu.
 
it is just pretty simple. In kenya kiswahili is the national language whereas English is the official language

An official language is a language that is used for official/formal purposes in a country. Government documents, legal proceedings, police reports, business contracts, that sort of thing.

A national language is a language that is symbolic of that country, usually for historical, cultural, and ethnic reasons.
 
Sawa naelewa your point of view....But the Kenyans are not complaining on the use of the two languages..These languages have been used for years..They are comfortable with it....I have lived there and have a sizable business there and know it works for them..Different nations and people do things differently...Personally I speak 2 international langues plus Kiswahili and my mother tongue...Those languages have helped in my line of work..The open borders policy I struggle with but then again it's not my country...I would like to imagine it has been thought through...I still think they maintain there sovereignty...
Kaka wewe unazungumzia katika personal au individual life, lakini unapokuja kwenye ngazi ya nchi mambo ni tofauti kabisa, huwezi kusema because it works for them then ni sawa tu waendelee hivyo bila kufuata taratibu na miongozo waliyojiwekea kama nchi, hata rushwa tutasema because it works for them, tribalism, killings with impunity pia ni vitu vilivyozoeleka sana Kenya, hatuwezi kuviacha na kusema because it works for them, all these are indication of fuilure by the leadership and people should show their unhappiness not to accept easily.

Mashirika mengi ya kimataifa yanaiweka Kenya katika kundi la failed states kwa sababu ya serikali ya Kenya kushindwa kusimamia sheria na taratibu za nchi walizojiwekea wenyewe kwenye katiba yao, watu wanapotea kila siku bila maelezo ya msingi, watu wanauliwa na majambazi, magaidi, na polisi wanauwa na kuwapoteza watu kila siku kama vile hakuna sheria za kulinda utu na maisha ya watu, sasa ulegevu huo ndiyo unaoifanya serikali ya Kenya kushindwa hata kusimamia lugha yake ya Taifa ya kiswahili ili iweze kutumika na kukomaa vizuri kwa wananchi wote wa Kenya, hakuna nchi yoyote ile duniani isiyotumia lugha yake ya Taifa katika shughuli zake za kitaifa, Kenya is very unique country...IT IS A CONFUSED COUNTRY..

Ulegevu wa serikali ya Kenya katika kusimamia taratibu za nchi kunaenda mbali zaidi, ndiyo sababu mtu kama Magufuli anayesimamia kila kitu kwa ufasaha, wao wanamshangaa kwa kuzikamata ng'ombe zilizovuka mpaka bila kufuata taratibu, kwasababu tu wamasai wamekuwa wakiishi kwa mazoea kwa muda mrefu.

Sent from my MediaPad T1 8.0 using JamiiForums mobile app
 
Kwanza fahamu hizi tunazoita mataifa ni vitu vilibuniwa na mzungu alipokuta babu zetu na kuwagawa. Kawakuta Wamaasai na kuchora mpaka katikati yao hadi leo Mmaasai wa huku hawezi kumtembelea mjomba wake ambaye alijikuta upande wa pili.

Sisi tunaheshimu sana mila na desturi zetu, na ndio maana tunazo redio zinazopeperusha matangazo kwa lugha zetu za asili. Fahamu kwamba ukabila sio lugha, maana kule Somalia wote wa kabila moja, dini moja lakini wanabaguana balaa. Hapo Tanzania mnaongea lugha moja nyote, lakini mnao uchama wa kiajabu, mtu wa Chadema anachukiwa sana na wa CCM, nilishangaa baada ya Tundu Lissu kupigwa marisasi, niliona wafuasi wa CCM wanashabikia huku kwenye mitandao.

Kwetu kiongozi anapokwenda kijijini na kuwakuta akina ajuza, anawaeleza kwa lugha yao ya asili kama anaielewa.
Ama unapungukiwa na points za kuchangia, au uwezo wako wa kujenga hoja unapungua sana, huwezi kulinganisha ushabiki wa vyama na ukabila, ushabiki wakati wowote ule unaweza kubadilika, lakini ukabila ni wakudumu, nchi zote duniani kuna ushabiki wa vyama vya siasa, hata hapo kwenu kuna ushabiki wa vyama vya siasa, hilo ni jambo la kawaida na linakubalika ndani ya katiba za nchi, tatizo ni ukabila, hilo ndilo tatizo, linakuwa tatizo zaidi pale ukabila unapokuwa umetawala siasa za nchi kama ilivyo Kenya na Zanzibar.
 
Bure kabisa. Hawa malofa tukiwazoesha watakuja kutuchambulia hata maswala yasiowahusu, yaani mambo yetu ya ndani kwa ndani. Swali langu kwao ni, nchi yao wanaona ikielekea wapi in the next five years? Hapo sasa ndo utaona povu linalotosha kuzima ule moto ulochoma vile vifaranga. 😀
 
Uliza specific question ili upate specific answer, sasa ukiuliza swali la wazi kama hili, utapata jibu la wazi, kwamba inaelekea CANAN[emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
it is just pretty simple. In kenya kiswahili is the national language whereas English is the official language

An official language is a language that is used for official/formal purposes in a country. Government documents, legal proceedings, police reports, business contracts, that sort of thing.

A national language is a language that is symbolic of that country, usually for historical, cultural, and ethnic reasons.

As regards use of the two languages:-

giphy.gif
 
Back
Top Bottom