Nisaidieni kuwaelewa Wakenya!

Nisaidieni kuwaelewa Wakenya!

Either you don't get the point or you force not to get the point, the issue is not to understand many language but is the government to use its national language, as one of the contributors says, even in USA, they understand many languages over there, but the national language of USA is english and the government of USA uses english in all activities, doesn't mean that they only understand english.
Going to break it down for you..

Kiswahili is the national language in Kenya and English the official language...That means they can be used interchangeably...What’s wrong with that..?Like I said earlier different countries and people do things differently...Deal with it man..

I agree with you in some of your posts...Both countries have different set of third world problems..They deal with their problems differently..Language and the use of it is the least of our problems.I notice however sometimes you argue for the sake of it or you have to have the last word..I have put you on IGNORE now...I decided to stop going back and forth with you ...because your arguments and ramblings don’t make sense..Now, as is your fashion, go on right ahead and write a book on the issue and publish it here...I will not see it nor do I care..Quite frankly don’t care for your non factual,keyboard warriorship,aggressive and lacking in content style...

I agree with my people on some issues but also agree with Kenyans on some issues..This rivalry between the two countries is sometimes ridiculous...We are all East Africans can’t we just get along?
 
Going to break it down for you..

Kiswahili is the national language in Kenya and English the official language...That means they can be used interchangeably...What’s wrong with that..?Like I said earlier different countries and people do things differently...Deal with it man..

I agree with you in some of your posts...Both countries have different set of third world problems..They deal with their problems differently..Language and the use of it is the least of our problems.I notice however sometimes you argue for the sake of it or you have to have the last word..I have put you on Ignore now...I decided to stop going back and forth with you ...because your arguments don’t make sense..Now, as is your fashion, go on ahead right a book on the issue and publish it here...I will not see it.

I agree with my people on some issues but also agree with Kenyans on some issues..This rivalry between the two countries is sometimes ridiculous...We are all East Africans can’t we just get along?
What is the purpose of JF, is it to bring people together or to give space for every one to air opinions endlessly, this is not place for reconciliation rather than debating and some time you may even play a devil advocate position, what I can see from your side is very low standard of thinking, and very dwarf level of understanding issues..all the best.
 
Unajua lugha tatu kiswahili kikiwemo? Sababu hapo tu umeandika broken Swahili

Wakenya tukianza kusahisha kiswahili chenu kichafu mnachokiandika hapa jukwaani hamtachangia sababu everytime you are speaking broken and awkward
Hata kiswahili cha wakongo, rwanda na Uganda ni Tofauti lakini bora tunaelewana sioni shida hapo. Wewe ni ugomvi tuuu unatafuta...your inferiority complex pelekaaa hukooo bongolala, hapa Mimi kama Mkenya nitazungumza hata sheng' na hakuna kubwa utakalofanya.
 
Hukujua hilo, unafikiria Kiswahili ni Kisukuma, fahamu kwamba hata jina Swahili linatokana na neno la Kiarabu 'sawahil', kafanye utafiti.
Kwa hiyo sababu kwenye kiswahili kuna maneno begi, baiskeli, penseli, papai, tisheti, koti, tochi, blangeti, taulo, swichi, soda, bia, ovakado, sayansi n.k kiswahili kitakua kiingereza?? Kuna 20% ya maneno ya kiswahili yanatokana na kiarabu lakini zaidi ya 75% yanatokana na lugha za kibantu Punguza ujinga.

Basi English ni French or Latin sababu at least 29% (percent) of the words in English come from French. 29% come from Latin.
 
Hata kiswahili cha wakongo, rwanda na Uganda ni Tofauti lakini bora tunaelewana sioni shida hapo. Wewe ni ugomvi tuuu unatafuta...your inferiority complex pelekaaa hukooo bongolala, hapa Mimi kama Mkenya nitazungumza hata sheng' na hakuna kubwa utakalofanya.
Tena hata bora mnavyoandika, mkiongea ndio kichefuchefu kabisa sio kiswahili sio English you are the best in tribal
 
Kwa hiyo sababu kwenye kiswahili kuna maneno begi, baiskeli, penseli, papai, tisheti, koti, tochi, blangeti, taulo, swichi, soda, bia, ovakado, sayansi n.k kiswahili kitakua kiingereza?? Kuna 20% ya maneno ya kiswahili yanatokana na kiarabu lakini zaidi ya 75% yanatokana na lugha za kibantu Punguza ujinga.

Basi English ni French or Latin sababu at least 29% (percent) of the words in English come from French. 29% come from Latin.

Asilimia kubwa ni kiarabu, kama Waarabu hawangekuja kubaka Waafrika hakingebuniwa.
Tatizo mliiga hadi uzembe wa Waarabu na Uswahili mwingi.
 
Hata kiswahili cha wakongo, rwanda na Uganda ni Tofauti lakini bora tunaelewana sioni shida hapo. Wewe ni ugomvi tuuu unatafuta...your inferiority complex pelekaaa hukooo bongolala, hapa Mimi kama Mkenya nitazungumza hata sheng' na hakuna kubwa utakalofanya.
Kwenye kiswahili unadhani ni sawa kuzungumza vyovyote vile bora tu ujumbe ufike, lakini kwenye kiingereza kwa sababu ni lugha ya mabwana zenu wanaowatekenya huko nyuma, mtu akikosea au kushindwa kuzungumza kwa ufasaha, ninyi watumwa wao mnakuja juu na kumcheka...kaka zenu walio olewa huko Marekani vipi bado hawajabeba mimba?..watumwa wakubwa ninyi..stupid people, stupid nation..
Kwa hiyo sababu kwenye kiswahili kuna maneno begi, baiskeli, penseli, papai, tisheti, koti, tochi, blangeti, taulo, swichi, soda, bia, ovakado, sayansi n.k kiswahili kitakua kiingereza?? Kuna 20% ya maneno ya kiswahili yanatokana na kiarabu lakini zaidi ya 75% yanatokana na lugha za kibantu Punguza ujinga.

Basi English ni French or Latin sababu at least 29% (percent) of the words in English come from French. 29% come from Latin.
 
Asilimia kubwa ni kiarabu, kama Waarabu hawangekuja kubaka Waafrika hakingebuniwa.
Tatizo mliiga hadi uzembe wa Waarabu na Uswahili mwingi.
Hahaha nakucheka kwa dharau sababu hujui unaloliongea kiswahili kimekua Afrika Mashariki kabla ya kuja kwa waarabu tokea enzi za biashara ya kikanda ya batta trade kutokea Congo mpaka Msumbiji kwa kupitia Tanzania, Zambia, Malawi, Rwanda na Burundi ndio mana wao wanajua kiswahili kuwazidi hata wakenya hasa Congo ushahidi ni kwamba asilimia kubwa ya maneno ya kiswahili ni kutoka lugha ya makabila ya Congo.

Mpaka kuna maneno ya kabila la Igbo kutoka Nigeria mfano neno "wema" hata Igbo wanalo likimaanisha "goodness " na mengine mengi waarabu walikuja kuikuza tu sababu ya biashara na baadhi ya terminologies and vocabularies ambazo awali hazikuwamo kwenye kiswahili kama ilivyo English na maneno yake kwenye kiswahili.

Hata Kireno kipo kwenye kiswahili maneno" meza" "lesso" ni maneno ya Kireno Kijerumani nacho kipo kwenye kiswahili mfano "shule" "hela" na lugha nyingine nyingi

Hivyo hiyo hoja yako kiswahili ni kiarabu ni kutokua tu na elimu ya lugha na namna ya language growth and expansion and the concept of words assimilation in the language hivyo pole.
 
Siweze rudi shule nikasome lugha ya mwarabu.
Hahaha waarabu wenyewe wanakisoma kiswahili kama wewe unavyosoma lugha ya malkia lakini mnavyojishebedua nayo utafikiri hata wanawafahamu they count you as monkeys.
 
Wewe ndiye unachekesha eti kilitumika na Wakongo kabla ya ujio wa Waarabu, nenda kafanye utafiti upya.
Ukweli ni kwamba Waarabu walikuja na kuwabaka Waafrika wa jamii ya Wangozi na kuanza kubuni Kiswahili kwa kutumia maneno yao ya Kiarabu na maneno ya Kingozi, baada ya hapo kikakua kwa kukopa maneno kutoka kwa lugha nyingi zikiwemo Kireno na hata Kingererza.

Sasa Msukuma au Mnyakyusa unatelekeza lugha yako ya asili unang'ang'ania Kiswahili kusudi usiitwe mshamba....
 
Not us but you as monkeys, sisi hapa tunazijua na kujivunia lugha zetu za mama hata tunafunzwa shuleni from nursery school up to class 3.
 
Katika hayo maneno yote uliyoyaandika hapo nitajie maneno angalau matano tu ya kiarabu
 
Kwani kuna asiye na lugha ya mama? Tanzania tuna zaidi ya makabila 120 ulitaka kila kabila liwe na curriculum yake kwa teaching and learning medium yake you are thinking like a monkey.
 
Katika hayo maneno yote uliyoyaandika hapo nitajie maneno angalau matano tu ya kiarabu

Subiri nikipata nafasi nitatafuta tafsiri ya haya yote, nakupa mchache ya haraka tu
kabla - qabl
lugha - lugha
asili - al'asl
 
Not us but you as monkeys, sisi hapa tunazijua na kujivunia lugha zetu za mama hata tunafunzwa shuleni from nursery school up to class 3.
Makabila yaliyopo Tanzania

  1. Alagwa
  2. Akiek
  3. Akie Northern Tanzania
  4. Arusha
  5. Assa
  6. Barabaig
  7. Balouch Coastal Tanzania
  8. Bembe
  9. Bena
  10. Bende
  11. Bondei
  12. Bungu
  13. Burunge
  14. Chaga
  15. Datooga
  16. Dhaiso
  17. Digo
  18. Doe
  19. Fipa
  20. Gogo
  21. Goa Coastal Tanzania
  22. Goma people
  23. Gorowa
  24. Gujirati Coastal Tanzania
  25. Gweno
  26. Ha
  27. Hutu Western Tanzania Kagera
  28. Hadza
  29. Hangaza
  30. Haya
  31. Hehe
  32. Holoholo people
  33. Ikizu
  34. Ikoma
  35. Iraqw
  36. Isanzu
  37. Jiji
  38. Jita
  39. Kabwa
  40. Kagura
  41. Kaguru
  42. Kahe
  43. Kami
  44. Kamba Northern Tanzania
  45. Kara (also called Regi)
  46. Kerewe
  47. Kikuyu
  48. Kimbu
  49. Kinga
  50. Kisankasa
  51. Kisi
  52. Konongo
  53. Kuria
  54. Kutu
  55. Kw'adza
  56. Kwavi
  57. Kwaya
  58. Kwere
  59. Kwifa
  60. Lambya
  61. Luguru
  62. Luo
  63. Maasai
  64. Machinga
  65. Magoma
  66. Mahanji
  67. Mbulu (in Arusha)
  68. Makonde
  69. Makua
  70. Makwe
  71. Malila
  72. Mambwe
  73. Manyema
  74. Manda
  75. Mahara
  76. Mediak
  77. Matengo
  78. Matumbi
  79. Maviha
  80. Mbugwe
  81. Mbunga
  82. Mbugu
  83. Meru (Wameru of the slopes of Mt. Meru in Arumeru District)
  84. Mosiro
  85. Mpoto
  86. Msur Zanzibar
  87. Mwanga
  88. Mwera
  89. Ndali
  90. Ndamba
  91. Ndendeule
  92. Ndengereko
  93. Ndonde
  94. Nyanja people Southern Tanzania
  95. Ngas Northern Tanzania
  96. Ngasa
  97. Ngindo
  98. Ngoni
  99. Ngulu
  100. Ngazija (Zanzibar island)
  101. Ngurimi
  102. Ngwele
  103. Nilamba
  104. Nindi
  105. Nyakyusa
  106. Nyasa people in Mbeya
  107. Nyambo
  108. Nyamwanga
  109. Nyamwezi
  110. Nyanyembe
  111. Nyaturu
  112. Nyiha
  113. Nyiramba
  114. Omotik
  115. Okiek people
  116. Pangwa
  117. Pare
  118. Pimbwe
  119. Pogolo
  120. Rangi
  121. Rufiji
  122. Rungi
  123. Rungu
  124. Rungwa
  125. Rwa
  126. Safwa
  127. Sagara
  128. Sandawe
  129. Sangu
  130. Segeju
  131. Swengwear
  132. Shambaa
  133. Shirazi
  134. Shubi
  135. Sizaki
  136. Suba
  137. Sukuma
  138. Sumbwa
  139. Sungu Tanga
  140. Temi
  141. Tongwe
  142. Twa Western Tanzania
  143. Tutsi Western Tanzania
  144. Tumbuka
  145. Vidunda
  146. Vinza
  147. Wanda
  148. Washihiri Zanzibar
  149. Wamanga Zanzibar and Mafia island
  150. Wanji
  151. Wangarenaro Arusha
  152. Ware
  153. Yaaku people Northern Tanzania
  154. Yao
  155. Zanaki
  156. Zaramo
  157. Zigula
  158. Zinza
  159. Zyoba
  160. Zulu people Southern Tanzania
 
Watz bana huwa mnatuponda sisi wakenya sana kwa kupenda kuongea lugha zetu za asili. Sasa tukiongeza kiswahili au hata kiingereza bado mnanung'unika tangazeni msimamo basi.
 
Back
Top Bottom