Nisaidieni kuwaelewa Wakenya!


Very well said and articulated.
 
Mradi ujumbe umemfikia aliyelengwa...Sio Kenya pekee yake...Kuna inchi nyingi hutumia zaidi ya lugha moja as official languages..eg Canada,Rwanda etc
Sio "inchi" ni nchi.
 
Hii sababu yako ya kubadili lugha sababu ya wazungu ni ya kitumwa na kinyonge hivi trump anaweza kubadili lugha ya hotuba kisa kuna wanaijeria hawatamuelewa au waethiopia?? Acha utumwa wa fikra.

Moja ya masharti ya visa application za mataifa mengi ya ulaya ni kuelewa ipasavyo lugha yao ili kupata visa ya kuingia nchini mwao.
 
Wa tz washezi sana wajui Kenya 2najua lugha tatu
Unajua lugha tatu kiswahili kikiwemo? Sababu hapo tu umeandika broken Swahili

Wakenya tukianza kusahisha kiswahili chenu kichafu mnachokiandika hapa jukwaani hamtachangia sababu everytime you are speaking broken and awkward
 
Makubwa kiswahili ni kiarabu
 
kwa sababu Kiswahili pamoja na Kiingereza ni lugha za taifa...Kiingereza kinazungumzwa sana haswa Nairobi.....in Fact, shuleni Kiingereza kimetiliwa maanani hata kuliko Kiswahili....mfano, nilipokuwa shule, tulikuwa tunakubaliwa kuzungumza Kiingereza kwa siku nne kati ya tano kwa wiki... kila ijumaa ilikua siku ya Kiswahili...ukikiuka sheria hii utajipata pabaya...tulikuwa tunachapwa sana kwa sababu ya kuzungumza kiswahili katika siku zile nne za Kiingereza...
 
Unajua lugha tatu kiswahili kikiwemo? Sababu hapo tu umeandika broken Swahili

Wakenya tukianza kusahisha kiswahili chenu kichafu mnachokiandika hapa jukwaani hamtachangia sababu everytime you are speaking broken and awkward
Even you, can write broken English
 
Ana akili nyingi ndio maana
 
Cha kushangaza...we politician)coz is friend to raila.....and that car is an art base in mombasa..soo..leave has alone coz we only know.bongolalals songs
Hahaha kwani Mombasa sio Kenya?? Na gormahia ni Mombasa??
 
Sisi 2najua...kapombe.pekee.na.bongolalas songs.........nyinyi mnajua hata MCA iyo c.ni ufala
I know MCA from the Definition. MCA. Micro Channel Architecture (IBM system bus)MCA. Middle Cerebral Artery.

This is known worldwide
 
Sisi 2najua...kapombe.pekee.na.bongolalas songs.........nyinyi mnajua hata MCA iyo c.ni ufala
Hadi wanamfahamu gavana wa kwetu, Ole Lenku. Hii nayo imezidi obsession sasa ni stalking. Wanafatilia yote hawana mipaka hawa jamaa.
 
Either you don't get the point or you force not to get the point, the issue is not to understand many language but is the government to use its national language, as one of the contributors says, even in USA, they understand many languages over there, but the national language of USA is english and the government of USA uses english in all activities, doesn't mean that they only understand english.
 
Hapo ndipo tatizo linapoanzia, ndiyo sababu tunasema Kenya is a confused country, kwa kufanya hivyo ni wazi kwamba serikali ilikuwa na lengo la kukuza kiingereza na kukishusha kiswahili, na haya ndiyo matokeo yake. Huku Tanzania tulifanya kinyume na Kenya, ni siku moja tu kwa juma ndiyo ilikuwa huruhusiwi kuzungumza Kiswahili, hivyo tulikithamini sana Kiswahili na tulijivunia kiswahili kuliko kiingereza kwa sababu hiyo ndiyo lugha yetu ya Taifa, Kenya ilifanya jitihada za makusudi kukifanya kiswahili kiwe second language huku serikali ikijua kwamba ndiyo lugha ya Taifa.

Kumbuka nchi nyingi duniani huwa zinatumia lugha zaidi ya moja, Tanzania katiba yetu inazitaja lugha ya Kiswahili kama lugha ya taifa, na english kama lugha rasmi ya mawasiliano, ndiyo sababu documents karibu zote za mahakama bado zipo ktk lugha ya kiingereza, medical documents, scientific documents zote zinatumia english, lakini huwezi kuifanya second language, ambayo kimsingi hata huko Kenya ni mpaka mtu aende shule ndiyo aweze kuifahamu vizuri, iwe ndiyo inayotumika nchi nzima, jamii za wafugaji, wavuvi na kundi kubwa ambao hawakusoma utawasiliana nao vipi?
 
Iwe Kiingereza iwe Kiswahili huwezi shurutisha wakenya waongee lugha unayotaka wewe. Wana akili zao na wataongea lugha wanayoitaka wao. Kwangu dhambi kuu kama mwafrika ni kukosa ufahamu ikija kwenye lugha ya Mama, lugha ya babu zako. Mwafrika yeyote yule asiyejua kuongea lugha yake ya asili ajue kwamba yeye ni maandas. Kama rais Mwai Kibaki alivopenda kusema, mavi ya kuku wewe, bure kabisa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…