Meleta mada, unataka kuolewa ila una malengo yako na sio ya familia ya wewe na huyu mumeo mtarajiwa,
Kwenye hayo malengo yako yatakuwa yanamfaidisha nani, wewe, mumeo, au familio uliyotoka!?
Kama malengo yako yatakuwa na conflict of interest na ndoa bora usiolewe
Maana nahisi unataka huyu mume awe daraja la kufikia hayo mafanikio alafu ulale mbele.
Ukiolewa hakuna malengo yako, ninmalengo ya familia ya yenu (wewe,mumeo na watoto) sio vinginevyo, nje ya hapo ndio migogoro kila siku. Ukitaka hivyo tafuta mume zwazwa