Nisaidieni kwa wote waliooa na kuolewa

Nafta malengo yangu ili nkifanikiwa awe amenufaika na yy
 
Muhimu ni kujua hi yu o ndoto ikitimia inaenda kuwafanya imara pamoja au kiwatenganisha. Aidha, ni muhimu kuzungumza pamoja namna bora ya kutimiza ndoto husika. Mwisho never forget nafasi yako kama mke = kumtii mume
Asante
 
Unataka kujaribu au uko serious! Ndoa ni zaidi ya kuamsha miguu mdogo wangu,maana usiwaze kile chakula tu cha usiku..nina imani huyo anayetaka kukuona unamjua vizuri,kama ndivyo usingekuja na hii hoja hapa,unless unabahatisha! Uamuzi ni wako!
Bado sijaamua nawaza hapa
 
Mwanamke anapoolewa huwa anashikamana na vision ya mwanaume. Ukienda kwenye ndoa na vision zako kuna uwezekano. mkubwa ndoa ikakushinda. Hata kama unamalengo ni vema ukamshirikisha mumeo katika namna nzuri. Hii itakusaidia kuilinda ndoa yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…