DiasporaUSA
JF-Expert Member
- Aug 27, 2016
- 23,382
- 29,639
Roho mbaya sio poaHizi familia zetu zA kiafrika,
Ukitaka sana sifa, utajikuta husongi mbele.
Sometimes
utakiwa kufumba macho, uKaze roho.
Mishipa yote ya aibu ikutoke ndo UTATOBOA.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama baba yako alikusomesha akakutunza akakuleaa akatumia rasimali zote ili usome akajinyima akakuwezesha kufika hapo huna budi kumjengea kwani bila yeye wewe usingefika hapo.........Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 30 nimeajiriwa.
Baba yangu amegoma kabisa kujenga nyumba yake akidai mimi nisipomjengea watu watanidharau na kunicheka, yaani kwa ufupi nawaza mpaka nakonda ukizingatia kwa sasa namjengea mama ambaye tayari walishaachana na baba.
Mama naye alikuwa anaishi mazingira magumu kupita kiasi ikabidi nimsitiri japo nyumba yenyewe bado haijaisha vizuri.
Sasa baba anaishi mazingira magumu sana (nyumba mbovu) kipato changu ni kidogo sana na mimi binafsi sijajenga, nashindwa kupata majibu wakuu nikisema nianzishe tena nyumba ya baba na ya mama ambayo bado haijaisha, nitashindwa kuwaandalia watoto wangu mahali pa kukaa.
Nishaurini ndugu zangu.
Sio roho mbaya,Roho mbaya sio poa
Vijana wanaharibu Sana fyucha zao kwa kuendekeza Ujamaa na Undugu.Yes, sometimes!
Baada ya kuachana baba anaishi mwenyewe hajaoa tena na mama pia anaishi peke yake hajaolewa tenaWazazi wameshatengana, well... mama anaishi na nani na mama anaishi na nani..?
Ukinijibu vema nitarudi.
Kwahiyo huna unacho miliki mzee kaka!??Mm mshua alizima, baada ya 40 kwenye kikao cha familia, Mama Mlezi alinipa nafasi nitoe maoni yng kuhusu mgao wa Mali.
Kumbuka huyu Mama si Mamangu Mzazi, ila amezaa na Mzee watoto wawili! Kulikuwa na Nyumba 2, pick up, mifugo, mashamba na power Tillers!
Mi nliwaambia vyote vilivyopo vitumike hapa hapa Kijijini kumtunza Mama na waliopo, hakuna haja ya mgao! Mpk leo wananipenda ile mby!
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe Unaweza kuwa chanzo kikuu cha kufanya warudiane kwa kushirikiana na wazee wenu katika ukooWaligoma kurudiana mkuu nkaona mama anateseka anafanya kazi ngumu huku akiishi makazi duni sana
Kwahiyo huna unacho miliki mzee kaka!??
Duh! Sawa ntajitahidi sana kuepuka laana japo baba ashaongea mengi juu yangu anahisi nambagua ila nkirudi Tanga likizo ntajilipua vyovyote sina jinsi hali mbaya za wazazi zinanyima raha sanaUpo peke yako katika uzao wa mama na baba yako?
If yes,
Jitahidi hata kuiboresha hio iliyopo na umweleze mzee plan za kumjengea as time goes.
FYI,
Usipokuwa makini, mzee ànaweza kufa (siombei) akakuachia laana (inawatokea wengi, kutokana na manung'uniko ya wazazi) ambayo itakuvurugia maisha!
Jipange mapema
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa dwagSio roho mbaya,
Jipe muda wa kujipanga na kupambana.
Siku mambo yakishakua mazuri,
Unakua msaada sana Kwao kiroho Safi bila manung'uniko.
Sasa hio misaada yenyewe mnayojifanya mnatoa huku uwezo wenyewe hamna,
Afu mkitoka hapo mnanung'unika, Kiukweli hata kwa Mungu Haina Thawabu.
KAMA KIJANA,
WAPOTEZEE NDUGU KWA MUDA HUKU UKIPAMBANA KWA JASHO NA DAMU
MAMBO YAKISHAKAA SAWA, WAO WENYEWE WATAFURAHI TU.
Sent using Jamii Forums mobile app
Vijana wa kiafrika wanakwamishwa na mengi