Naanto Mushi
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 6,236
- 15,677
- Thread starter
- #41
Friji langu halili umeme sanaDaah watu mna raha, yaan unit 2.4 kwa Siku? Hapa nilipo tunatumia unit 5 per day
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Friji langu halili umeme sanaDaah watu mna raha, yaan unit 2.4 kwa Siku? Hapa nilipo tunatumia unit 5 per day
So solution hapa ni kuleta fundi akague.. haswa haswa zile nyaya ambazo zipo karibu na nyumba ya mshikaji..NJIA sahihi ni kukagua system.
Inawezekana huyu jirani yake ka connect waya wa kwenda kutumia device moja au mbili wenda jiko au friji huku system nyingine iki fanya kazi sawa..
Kama kafanya hivi basi jamaa kwa kutumia mbinu ya kuzima, au kusubiri uneme uishe bado hato pata jawabu ikiwa jamaa ame connect na friji au jiko la kupikia.
Hamna haipo hivo.. nimetafiti mkuu.. nna uhakika na hili swala kwa asilimia zaidi ya 70.Au inawezekana huyo mshkaji wako ana hela ya kutosha kutop up umeme kila siku...
hali ngumu za kimaisha zinaweza kukufanya uone watu wote wanaoijiweza ni wezi..............
uko sahihi chief!NJIA sahihi ni kukagua system.
Inawezekana huyu jirani yake ka connect waya wa kwenda kutumia device moja au mbili wenda jiko au friji huku system nyingine iki fanya kazi sawa..
Kama kafanya hivi basi jamaa kwa kutumia mbinu ya kuzima, au kusubiri uneme uishe bado hato pata jawabu ikiwa jamaa ame connect na friji au jiko la kupikia.
Life?Baada ya kutoka kwenye Luku, umeme ni wako, fuatilia huenda kuna mahali kachubua waya ambao ni"life" na kukuibia.
Kuwa nae makini mkuu,ukimbaini afunguliwe kesi ya uhujumu,mkuu kama umeoa kuwa makini na Huyo jamaa aisee.Hamna aisee huyu sijui atakuwa kabila gani.. halafu ni jamaa fulani yaani ukimuona huwezi kudhani anaweza kuwa anaiba umeme.
ashe!Sorry "live" , la maana upate ujumbe
Hii nafikiri ni nzuri na ya harakaUsiku nenda kwnye main switch uuzime then uangalie kwake haraka kama taa zinawaka
pumbav, so kila mtu aseme akosee , ujumbe gani utamfikia mlengwa ?Sorry "live" , la maana upate ujumbe
Usimuhisi mwenzio kuwa mwizi.Hii nyumba ninayoishi tupo wapangaji watatu kwenye compound moja. Nimehamia hapo huu ni mwezi wa pili unaenda kuisha.
Ndani ya hizi wiki chache, nimeona mabadiliko makubwa ya matumizi ya umeme. Mwanzoni ilikuwa natumia wastani wa unit 2.4 kwa siku, ila kwa sasa imepanda mpaka 3.6 kwa siku.
Nimeona sio kawaida, mpaka nimehisi kwamba inawezekana kuna jirani ananipiga umeme wangu, na ushahidi nilionao ni kwamba, mahali ilipo mita yangu ipo pamoja na jirani yangu mmoja, ila sasa maajabu nashangaa hii siku ya pili nimechunguza, hiyo mita ni kama unit za umeme za jana ndo zipo leo. Nikimaanisha kwamba, ni kama vile huyu jirani atakuwa anatumie umeme kwenye source ingine ambayo possibly ameconnect umeme wangu.
Nnachokifikiria kwa haraka haraka ni kumleta fundi wiring ili akague system nzima ya umeme wangu.
Naombeni mnipe mbinu zaidi wakuu, nimekereka sana kuligundua hili, kitendo cha mtu kuniibia huwa nakichukulia kama kuniona sina akili na kunitusi.
Nahisi kama nimuadabishe bila kumuambia chochote. Haiwezekani mtu ufikiria kupambana na maisha halafu ufikirie tena kupambana na majirani wezi.
Mbinu safi na chafu nazipokea ahsante
Napita tu, ila hii comment imenifanya nitafakari zaidi."system" gani mwenye nyumba ametegesha humo darini za kuhakikisha wapangaji hamuondoki..?
Dogo, je kulikuwa kuna haja sana ya kutoa tusi?pumbav, so kila mtu aseme akosee , ujumbe gani utamfikia mlengwa ?