Mshangazi dot com
JF-Expert Member
- Nov 19, 2011
- 1,345
- 3,503
Jana nimemuona daktari akaniambia nipungue uzito. Wenye uzoefu, leteni ushauri nifanyaje nataka niondoshe kilo 10 mpaka 15. Leo nimeanza mazoezi na kula high protein diet.
BMI yangu kama unavyoiona hapoš, usiniulize kilo zangu fahamu tu niko overweight.
Haya nishaurini nini cha kufanya nipungue uzito, nitasikiliza.
Pia kuwa specific, ukisema fanya mazoezi niambie mazoezi ya aina gani na for how long?
Cc:
makutupora
realMamy
Nomadix
Mallerina
Mwachiluwi
bonjov