Nisaidieni mshangazi kupungua kilo 10 chap!

Nisaidieni mshangazi kupungua kilo 10 chap!

Sasa hapo dear pata mwanaume Pasua kichwa 😀 mvurugo wa siku moja kilo 30 kwisha 😅
🤣 🤣 Mai na hali hii si nitapata na presha juu. Hofu yangu kubwa ni Mr. kuniletea katoto ka nje kwa umri huu, halafu awe amezaa na kabinti ka alfu mbili daah hapo nitapungua kwa kweli!
 
Asante, mbadala wa mafuta ya mbegu unashauri kutumia nini?
Cold pressed pure virgin olive oil. Lita moja 36K Tsh Mlimani City. Si kwa kupikia tu lakini unaweza kuwa unaweka kijiko kidogo kwenye salad yako na veggies. Ni sehemu muhimu sana ya Mediterranean diet na yatakusaidia kushusha cholesterol mbaya na kulainisha mishipa yako ya damu....
 
Back
Top Bottom