Nisaidieni mshangazi kupungua kilo 10 chap!

Nisaidieni mshangazi kupungua kilo 10 chap!

Siri ipo kwenye ulaji tu na jitahidi ule ukisikia njaa tu, chakua cha jioni ule mapema two hours before you sleep. Mazoezi anza yale mepesi mpaka u-gain momentum, kama rope jumping, squating, jumping jacks, high knees, burpee, lunge but cruch jipe muda ukizoea hayo nilioyokutajia.

Uwe na maji karibu but usinywe mengi sana fundo dogo, ukiwa unafanya hakikisha unaenda kwa sekunde dakika 2 unapumzika, na pumzika yako usipoe sana mwili 😄, later on utapata momentum ya 5, 10, 15 kuendelea sababu mwili ushazoea.

Jipangie muda mzuri kama una nafasi asubuhi huwa safi sana na jioni pia.

You can do it
Mshangazi dot com
Asante, nitafanyia kazi na kuangalia hayo mazoezi youtube.
 
Mchawi wanga
Punguza kula vyakula vyenye wanga (Kula wanga kiasi)

Usile sana (Sehemu kubwa ya chakula iwe maji)

Fanya mazoezi (Kuruka kamba/jogging).

Kama ni mnywaji bia punguza, bia na kitimoto/nyama viko parallel.
 
Usipunguze nyama Mshangazi tutakosa pa kubinyabinya😁
Mpaka nikuvunje mbavu eenhee
giphy.gif
 
Kama unaweza kufanya hilo zoezi la huyo mwanamke ulieweka picha yake nicheki kuna vitu kidogo nikuongezee utapungua
 
Chi chi chibonge nani alisema vibonge hawapigi miunoo...
Nakukubali sana Aunt yangu hata uwe chibonge.
______________
Kaushauri kangu sasa:
Toka jasho, jasho jingi utajua mwenyewe unatokaje jasho kama ni jogging,running,cardio kegels, mizagamuo me sijui but utoke jasho
______________
Junk & ready-made food is your number one enemy, pika mwenyewe maprotein ya kutosha na kijiugali chako/wali acha vyakula vya mafuta mafuta maybe mafuta ya samaki tu.

____________
Aunt yangu natamani ningekupa ushauri mzuri, ila siko sawa kwenye Medulla & Amygdalla zangu leo nitawaachia wengine jahazi.

Cc: Mshangazi dot com
Sawa nitazingatia kutoka jasho na kula.
Pole, ila nani kakuvuruga tena mpwa?
 
Upunguze kilo 10 chapu! Sio rahisi ufikiriavyo.
Ukianza kupiga zoezi tegemea na kuongeza kiwango cha kula, hapo sasa!😂

More chips more soda, uwe mlo wako huo.
Nenda kafanye surgery kupunguza nyama uzembe mwilini.
Narudia tena, sio rahisi kupunguza 10kg chapuchapu. Unaweza tumia hadi 2months ukatoa 1kg. Mimi sitanii na sina utani.
 
Back
Top Bottom