Nisaidieni mshangazi kupungua kilo 10 chap!

Mimi naamini kwenye ulaji ... Nina ndugu yangu ni wale wasabato masalia Hali nyama, Hali chakula chenye mafuta, yaani vyakula vyake ugali, viazi vya kuchemsha

Hajawahi kunenepa ... Tuachane huyo

Kuwa na nidhamu kwenye msosiii! ... I hope you don't drink beer! ... Maana bia nazo kwa wadada zinawatoa vitambi.

Anza kufunga kwa lazima, afu uwe na walking prayers ... Uwe unakata wese huku ububujika Rohoni 😂

Ili usijie ukawa Yeshuruni 🤣🤣🤣👇👇

Kumbukumbu la Torati 32:15

[15]Lakini Yeshuruni alinenepa, akapiga teke;
Umenenepa, umekuwa mnene, umewanda;
Ndipo akamwacha Mungu aliyemfanya,
Akamdharau Mwamba wa wokovu wake.
 
Fanya haya na matokeo uta ya pata.

1.Acha vyakula vya wanga mwepesi bali tumia wanga mgumu zilizo chemshwa Mihogo,Magimbi ndizi ( mbichi ),viazi sio vya chips.

2.Achana na vyakula vyote vinavyo tokana na ngano yani chapati,Maandazi,visheti nk

3.Achana na vitu vya Sukari kabisa kama chai,Soda, Juice za aina yote za kutengeneza nyumbani na kiwandani.

4.Usile matunda .

5.Achana na bia kwani ni product ya ngano.

Kula Protine za aina yoyote ile,mboga mboga zote za majani na mboga zenye asili ya mbegu kama maharage,kunde,njengere,njugu.

Kunywa maji muda wote unao taka .

Kwa kuwa una hitaji matokea ya muda mfupi kula mlo mmoja tu kwa siku .

Ndani ya miezi miwili una punguza kati ya 10 kg hadi 12 kg.
 
😃😅😀 Ukipungua uzito na kukata tumbo
Nitakuwa wako mshangazi
Mpaka nimelia jomoniiiiii 😂
200.gif
 
Jana nimemuona daktari akaniambia nipungue uzito. Wenye uzoefu, leteni ushauri nifanyaje nataka niondoshe kilo 10 mpaka 15. Leo nimeanza mazoezi na kula high protein diet.

View attachment 3250676

BMI yangu kama unavyoiona hapo👇, usiniulize kilo zangu fahamu tu niko overweight.

View attachment 3250672

Haya nishaurini nini cha kufanya nipungue uzito, nitasikiliza.

Pia kuwa specific, ukisema fanya mazoezi niambie mazoezi ya aina gani na for how long?

Cc:
makutupora
realMamy
Nomadix
Mallerina
Mwachiluwi
bonjov
Tumia Gongo namba one inasafisha mafuta Yote mwilini na hamudu ya kula inapungua hujui wanyagongo miwili Yao inakaa fit minyoo Yote huuliwa na gongolamboto
 
Mimi naamini kwenye ulaji ... Nina ndugu yangu ni wale wasabato masalia Hali nyama, Hali chakula chenye mafuta, yaani vyakula vyake ugali, viazi vya kuchemsha

Hajawahi kunenepa ... Tuachane huyo

Kuwa na nidhamu kwenye msosiii! ... I hope you don't drink beer! ... Maana bia nazo kwa wadada zinawatoa vitambi.

Anza kufunga kwa lazima, afu uwe na walking prayers ... Uwe unakata wese huku ububujika Rohoni 😂

Ili usijie ukawa Yeshuruni 🤣🤣🤣👇👇

Kumbukumbu la Torati 32:15

[15]Lakini Yeshuruni alinenepa, akapiga teke;
Umenenepa, umekuwa mnene, umewanda;
Ndipo akamwacha Mungu aliyemfanya,
Akamdharau Mwamba wa wokovu wake.
Mdogo akeee unajua sinywi bia, nitazingatia msosi maana hapo ndiyo kwenye shida, namna ya kuacha kitimoto sijui nitafanyaje.

Halafu ukianza kuniwekea na mistari ya biblia naona unanichanganya tu.
 
🤣 Hiyo kitimoto .. ni kuiangalia kama adui yako anakuzuia kufikia Malengo yako!

Jitahidi PolePole utaweza my dyadyaaa
 
Jana nimemuona daktari akaniambia nipungue uzito. Wenye uzoefu, leteni ushauri nifanyaje nataka niondoshe kilo 10 mpaka 15. Leo nimeanza mazoezi na kula high protein diet.

View attachment 3250676

BMI yangu kama unavyoiona hapo👇, usiniulize kilo zangu fahamu tu niko overweight.

View attachment 3250672

Haya nishaurini nini cha kufanya nipungue uzito, nitasikiliza.

Pia kuwa specific, ukisema fanya mazoezi niambie mazoezi ya aina gani na for how long?

Cc:
makutupora
realMamy
Nomadix
Mallerina
Mwachiluwi
bonjov
Tumbo limejaa mavi hilo.

Punguza kula kula hovyo haswa vyakula vya wanga badala yake pendelea zaidi protini,matunda, maji kwa ajili ya kuyeyushia mafuta.
Jitahidi uwe unakunya angalau mara 2 kwa siku , pendelea mapapai kulahisisha mavi yawe yanatoka kiwepesi
 
jitahidi kuwa unakula kwa wingi junk foods,chips, pizzas, burgers, cakes ,biscuits, chocolate and sweets,sodas, energy drinks, beer usipopungua ndani ya week njoo uniulize
 
Jana nimemuona daktari akaniambia nipungue uzito. Wenye uzoefu, leteni ushauri nifanyaje nataka niondoshe kilo 10 mpaka 15. Leo nimeanza mazoezi na kula high protein diet.

View attachment 3250676

BMI yangu kama unavyoiona hapo👇, usiniulize kilo zangu fahamu tu niko overweight.

View attachment 3250672

Haya nishaurini nini cha kufanya nipungue uzito, nitasikiliza.

Pia kuwa specific, ukisema fanya mazoezi niambie mazoezi ya aina gani na for how long?

Cc:
makutupora
realMamy
Nomadix
Mallerina
Mwachiluwi
bonjov
Sasa hapo dear pata mwanaume Pasua kichwa 😀 mvurugo wa siku moja kilo 30 kwisha 😅
 
Tumbo limejaa mavi hilo.

Punguza kula kula hovyo haswa vyakula vya wanga badala yake pendelea zaidi protini,matunda, maji kwa ajili ya kuyeyushia mafuta.
Jitahidi uwe unakunya angalau mara 2 kwa siku , pendelea mapapai kulahisisha mavi yawe yanatoka kiwepesi
Hance, kwa nini uko hivyo lakini
giphy 4.GIF
 
Jana nimemuona daktari akaniambia nipungue uzito. Wenye uzoefu, leteni ushauri nifanyaje nataka niondoshe kilo 10 mpaka 15. Leo nimeanza mazoezi na kula high protein diet.

View attachment 3250676

BMI yangu kama unavyoiona hapo👇, usiniulize kilo zangu fahamu tu niko overweight.

View attachment 3250672

Haya nishaurini nini cha kufanya nipungue uzito, nitasikiliza.

Pia kuwa specific, ukisema fanya mazoezi niambie mazoezi ya aina gani na for how long?

Cc:
makutupora
realMamy
Nomadix
Mallerina
Mwachiluwi
bonjov
Njoo inbox nikupe ushauri ndani ya mwezi utakuwa Poa kabisa mazoezi na chakula gani cha kutumia bila kusahau green juice malipo baada ya matokeo.
 
Hizo nimiongoni .wa sifa zenu nyinyi mishangazi haina haja yakupunguza uzito . wema tunashindwa kumwita mshangazi sababu ya umbo lake.
 
Back
Top Bottom