Mshangazi dot com
JF-Expert Member
- Nov 19, 2011
- 1,345
- 3,503
Usikimbie ,tembea, mayai ya kuchemsha matano, usile asubuhi epuka kabisa ugali na wali, achana na mafuta ya mbeguJana nimemuona daktari akaniambia nipungue uzito, naelekea pabaya. Wenye uzoefu, leteni ushauri nifanyaje nataka niondoshe kilo 10 mpaka 15. Leo nimeanza mazoezi na kula high protein diet.
View attachment 3250676
BMI yangu kama unavyoiona hapo👇, usiniulize kilo zangu, we jua tu niko overweight.
View attachment 3250672
Haya nishaurini nini cha kufanya nipungue uzito, nitasikiliza.
Pia kuwa specific, ukisema fanya mazoezi niambie mazoezi ya aina gani na for how long?
Asante, mbadala wa mafuta ya mbegu unashauri kutumia nini?Usikimbie ,tembea, mayai ya kuchemsha matano, usile asubuhi epuka kabisa ugali na wali, achana na mafuta ya mbegu
Afya kwako
Thanks, una yeyote unayeweza kumrecommend Dar?tafuta dietician/nutritionist
sina, ila google inaweza ikakushangazaThanks, una yeyote unayeweza kumrecommend Dar?
Kula mara mbili kwa siku,acha kula ugali wa mahindi na wali,mazoez fanya haya jumping lunges,jumping jacks,sit ups,Russian twists,london bridges,dips nkJana nimemuona daktari akaniambia nipungue uzito, naelekea pabaya. Wenye uzoefu, leteni ushauri nifanyaje nataka niondoshe kilo 10 mpaka 15. Leo nimeanza mazoezi na kula high protein diet.
View attachment 3250676
BMI yangu kama unavyoiona hapo👇, usiniulize kilo zangu fahamu tu niko overweight.
View attachment 3250672
Haya nishaurini nini cha kufanya nipungue uzito, nitasikiliza.
Pia kuwa specific, ukisema fanya mazoezi niambie mazoezi ya aina gani na for how long?
Cc:
makutupora
realMamy
Nomadix
Mallerina
Mwachiluwi
bonjov
Unapatikana wap madamJana nimemuona daktari akaniambia nipungue uzito, naelekea pabaya. Wenye uzoefu, leteni ushauri nifanyaje nataka niondoshe kilo 10 mpaka 15. Leo nimeanza mazoezi na kula high protein diet.
View attachment 3250676
BMI yangu kama unavyoiona hapo👇, usiniulize kilo zangu fahamu tu niko overweight.
View attachment 3250672
Haya nishaurini nini cha kufanya nipungue uzito, nitasikiliza.
Pia kuwa specific, ukisema fanya mazoezi niambie mazoezi ya aina gani na for how long?
Cc:
makutupora
realMamy
Nomadix
Mallerina
Mwachiluwi
bonjov
Dar es Salaam na Arusha mkuu!Unapatikana wap madam
Njoo PM kama upo seriousThanks, una yeyote unayeweza kumrecommend Dar?
Umeanza mambo yako Sinwar, hebu nisaidie mwenzako nipungue nisije nikafa 🙃Ukiacha uchoyo nitakusalimia😡
Malipo kiasi gani?Trainer nipo nipe tu location...ndan ya wik 2 na nus ushapungua
nifanye kuwa personal trainer wakoJana nimemuona daktari akaniambia nipungue uzito, naelekea pabaya. Wenye uzoefu, leteni ushauri nifanyaje nataka niondoshe kilo 10 mpaka 15. Leo nimeanza mazoezi na kula high protein diet.