Nisaidieni mshangazi kupungua kilo 10 chap!

Sasa hapo dear pata mwanaume Pasua kichwa πŸ˜€ mvurugo wa siku moja kilo 30 kwisha πŸ˜…
🀣 🀣 Mai na hali hii si nitapata na presha juu. Hofu yangu kubwa ni Mr. kuniletea katoto ka nje kwa umri huu, halafu awe amezaa na kabinti ka alfu mbili daah hapo nitapungua kwa kweli!
 
Asante, mbadala wa mafuta ya mbegu unashauri kutumia nini?
Cold pressed pure virgin olive oil. Lita moja 36K Tsh Mlimani City. Si kwa kupikia tu lakini unaweza kuwa unaweka kijiko kidogo kwenye salad yako na veggies. Ni sehemu muhimu sana ya Mediterranean diet na yatakusaidia kushusha cholesterol mbaya na kulainisha mishipa yako ya damu....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…