Nisaidieni namna ya kulipia siku nione mechi ya Yanga akimuua Azam FC kwenye Azam tv

Nisaidieni namna ya kulipia siku nione mechi ya Yanga akimuua Azam FC kwenye Azam tv

sonofobia

JF-Expert Member
Joined
Jun 21, 2015
Posts
1,171
Reaction score
4,295
Wakuu nisaidieni namna gani naweza lipia kifurushi cha siku kwenye Azam tv alafu nione mechi ya final Yanga vs Azam.
 
1000834368.jpg

Nimeishia hapa msipitie kama hamuon nitakosa mechi wajameni
 
Kifurush chenye azam sports hakina bando la siku
 
Back
Top Bottom