Nisaidieni ndugu zangu; napitia mateso wakati NSSF wanayo pesa yangu. Nachukuaje michango yangu?

Pole sana, tatizo fao la kujitoa halipo, zipo hizo asilimia...
 
Nenda Katie kambi offisi ya meneja kuanzia asubuhi mpaka jioni hadi wakupe chako yaani wasumbue haswa.
Maana hiyo ni kama deni uliwakopesha sasa wakulipe chako, waache longolongo
 
Ndugu pole kwa changamoto, Unazopitalia Ila Sio kwamba ukimaliza tu hyo miezi 18 wanakuwekea wao wenyewe la Asha!! UNATAKIWA KWENDA TENA OFISI ILIYOKUHUDUMIA HAPO AWALI NA KUJAZA TENA COME ZA KUOMBA KUJITILOA. Baada ya hapo utasubiri ndani ya siku 21 za kazi wanakuwekea pesa yako yote.
N;B lazima uambatanishe na KIAPO kutoka mahakani au mwanasheria kuwa BADO HAKUNA KAZI NA AKIKUGONGEA MUHULI MAPEMA TU.
 
Hata mimi wananizungusha wanasema faili lipo makao makuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…