Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nenda Katie kambi offisi ya meneja kuanzia asubuhi mpaka jioni hadi wakupe chako yaani wasumbue haswa.Sina kazi karibu mwaka wa pili sasa. Kula yangu ni ya shida pakulala ni shida kila kitu kimekuwa shida.
Nimekuwa na mipango mingi lakini nashindwa fanya lolote sababu pesa sina kabisa.
Lakini nina pesa yangu ipo NSSF baada ya kupoteza kazi yangu walinipa mafao ya 33% kwa miezi 6 then baada ya hapo sijapewa lolote.
Nimeandika barua kwa branch manager naambiwa kila nikienda nivute subira nitajibiwa lakini nazungushwa tu miezi sasa.
Nimeshakaa miezi zaidi ya 18 kwa nini hawataki kunipa pesa zangu jamani.
Mwenye ushauri, mbinu au connection anisaidie jamani maisha ni magumu yakiamua kukupiga hakuna ujanja utafanya.
Nisaidieni nadhalilika hapa DSM nipate pesa nifanye biashara au nifuge kuku.
Ndugu pole kwa changamoto, Unazopitalia Ila Sio kwamba ukimaliza tu hyo miezi 18 wanakuwekea wao wenyewe la Asha!! UNATAKIWA KWENDA TENA OFISI ILIYOKUHUDUMIA HAPO AWALI NA KUJAZA TENA COME ZA KUOMBA KUJITILOA. Baada ya hapo utasubiri ndani ya siku 21 za kazi wanakuwekea pesa yako yote.Sina kazi karibu mwaka wa pili sasa. Kula yangu ni ya shida pakulala ni shida kila kitu kimekuwa shida.
Nimekuwa na mipango mingi lakini nashindwa fanya lolote sababu pesa sina kabisa.
Lakini nina pesa yangu ipo NSSF baada ya kupoteza kazi yangu walinipa mafao ya 33% kwa miezi 6 then baada ya hapo sijapewa lolote.
Nimeandika barua kwa branch manager naambiwa kila nikienda nivute subira nitajibiwa lakini nazungushwa tu miezi sasa.
Nimeshakaa miezi zaidi ya 18 kwa nini hawataki kunipa pesa zangu jamani.
Mwenye ushauri, mbinu au connection anisaidie jamani maisha ni magumu yakiamua kukupiga hakuna ujanja utafanya.
Nisaidieni nadhalilika hapa DSM nipate pesa nifanye biashara au nifuge kuku.
Hata mimi wananizungusha wanasema faili lipo makao makuuNina miaka 36... walikuwa wananipa asilimia 33 ya mshahara wangu niliokuwa napokea mara ya mwisho...hiyo walikuwa wanaita fao la kukosa ajira nililipwa miezi sita mfululizo. Baaada ya hapo nimekaa zaidi ya miezi 18 ambayo niliskia ukifikisha unapewa hela yako sasa hawanipi wananizungusha kuna dada pale akaniambia kuna barua za wenzako toka mwaka jana hazijibiwi mimi sina cha kukusaidia ni juu ya uwezo wangu dirisha namba 4 ubungo mnene mweupe