Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Zakuambiwa changanya na zako.Mbona nasikia halotel wapo vizuri mkuu ni kweli au?
Huu si ndo mtandao unanunua mb halafu spidi utaitafuta wewe..🤣🤣
Tuliza hilo liitekno lako..🤣🤣Hahahah duuh kwahiyo nibaki huku huku tu mkuu?
Halotel walikuwa vizuri, lakini ndani ha wiki hizi mbili, wamekuwa chenga chenga.Ni kweli mkuu lakini nataka niongeze nyingine maana nasikia halotel mambo ni supa sijui kweli au ?
Mtandao wa WambeaTigo sijui kwanini huwa siipendi kabisa
Habari wakuu
Kwa sasa ningependa kuongeza laini nyingine yenye ofa nzuri nzuri za vifurushi, je ni laini gani ingefaaa maana naona nishazichoka voda na ttcl.
Nawasilisha.