Nisamehe Rais wangu Magufuli

Nisamehe Rais wangu Magufuli

Vizuri kabisa kila mtu ana sababu zake kumkumbuka hivyo sioni haja wewe kuchukizwa na kutokwa mapovu kwa wengine wenye sababu tofauti na zako za kumkumbuka Magufuli.
Nenda mpaka kaburini kwake Chato, usitupotezee muda kuna mambo ya muhimu ya kufanya
 
Ujenzi wa SGR Dodoma - Makutupora wasitishwa
KMfufueni aje ajenge. Serikali ni endelevu hata SSH asipomaliza wanaokuja watamaliza
Hatutakubali kuongozwa na WAOVU Kama JPM Kisa anajenga barabara.
Hatuli barabara sisi
 
Utafiti wa gazeti la mwananchi uligundua kuwa magufuli Hadi Sasa anakubalika na watu wenye akili timamu tz(99%)na ambao hawamkubali ni wenye ukichaa tu ambao ni 1%.
 
Any chama gani unaongelea maana mie niko chamaless
SAWA. Kama huna chama, lakini una mtu, anayefanana fanana na huyo unayemlilia sasa, komaa na huyo mtu ajitokeze na uungane na wengine kumtia moyo.
Haitoshikubaki mnalialia pembeni huku mkiona aliyosimamia kiongozi kipenzi wenu yakivurugwa.
 
Sasa wewe kwahio unataka tuandamane au
SAWA. Kama huna chama, lakini una mtu, anayefanana fanana na huyo unayemlilia sasa, komaa na huyo mtu ajitokeze na uungane na wengine kumtia moyo.
Haitoshikubaki mnalialia pembeni huku mkiona aliyosimamia kiongozi kipenzi wenu yakivurugwa.
 
Sasa wewe kwahio unataka tuandamane au
Hapana, hiyo ni hatua ya baadae sana mkishajipanga vizuri kusimamia hoja zenu mnazozisimamia, ambazo ndizo kiongozi wenu pia alizisimamia.

Kila jambo ni lazima liende kwa mpangilio maalum, kama mtoto asivyoweza kunyanyuka tu mara moja na kutembea.
Umenielewa?
 
Kama hukuweza kumuelewa JPM wakati wa uongoz wake bac jua 100% huna akili.
 
Back
Top Bottom