Mcheza Piano
JF-Expert Member
- Mar 2, 2024
- 562
- 1,339
Mwizi, fuatilia skendo ya KiwiraMkapa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwizi, fuatilia skendo ya KiwiraMkapa
Wahuni wameshika Hatamu.
Wale walioitwa Washamba wamewekwa kando.
Wakati wa maongezi ya simu yaliyovuja wale wazee walisema; "anajua, ndio maaana anaogopa kuja Dar"! Unadhan alikua anaogopa nini hicho!
Wewe mburura nenda kwanza kajiandikishe MEMKWA ili ukiandika tukuelewe. "Kupiga kula" ndiyo nini?Uko kwenye Tanzania ambao wananchi wake walipiga kula na kupata awamu ya sita ila huku kwa Tanzania ambayo hatukupiga kula lakini awamu ya sita ipo so sikushangai kwanza wapi mama Samia anakula kitu chochote kutoka kwa wananchi wenye vipato vidogo wewe kijana ulie na dishi la uyumbe
Nini kukumbukwa?. Kwani Iddi Amini na Mobutu hawakumbukwi? Au Adolph Hitler na Benito Mussolini hawakumbukwi?umeanza kuwasikia toka akiwa hai hadi leo ila kadri siku zinavyosogea watu wanazidi kumkumbuka Magufuli halafu wewe bado unazungumzia kufichua maovu? Wewe kweli
Hakuna neno "mahili" kwenye Kiswahili. Nenda kasome madarasa ya MEMKWA ndiyo uje humu.Sawa chawa wetu mahili tumekusikia
,Lakini twafahuma unayosemaga ukiwa katika upuuzi wako
Ikiwa hauko informedSikuwa namkubali magufuli ila hizo stori ni za uongo
Sasa we naona unakuwa mjuaji huku ulisoma chechea mkondo DWewe mburura nenda kwanza kajiandikishe MEMKWA ili ukiandika tukuelewe. "Kupiga kula" ndiyo nini?
Mtu wa Darasa la 7 B, ukija JF utajidhalilisha tu, bakia Facebook tu kwa wajinga wenzio
Kafie mbele kwani wewe huwezi kukosea kuandika nenda kasome mwenyewe hayo madarasa ya MEMKWAHakuna neno "mahili" kwenye Kiswahili. Nenda kasome madarasa ya MEMKWA ndiyo uje humu.
Yaani mijitu hata kuandika haijui eti nayo inakuja kubishana JF?? Pathetic
Kwamba wewe una akili sana kuwazidi watu wote wanautumia Facebook? Wewe ni mwehu kuliko huyoWewe mburura nenda kwanza kajiandikishe MEMKWA ili ukiandika tukuelewe. "Kupiga kula" ndiyo nini?
Mtu wa Darasa la 7 B, ukija JF utajidhalilisha tu, bakia Facebook tu kwa wajinga wenzio
ni ngumu sana wewe kutoa ufafanuzi kuhusu hiloIkiwa hauko informed
ni ngumu sana wewe kutoa ufafanuzi kuhusu hiloIkiwa hauko informed
Hivi,mfano. Ukiwa na mali,usizoweza kueleza upatikanaji wake,unadhani utaeleweka vipi? Je,unapokuwa katika nafasi inayokuruhusu kuhujumu,usiguswe? Je,mwenye kufilisiwa kwa hila, unakula na kumwaga,wenzako hawana hata maji tu! We mtu gani?Angekutia ukilema wewe hapo au kufilisiwa kwa hila, usingesema haya
Rudi ujifunze kuandika mali badala ya mari, utajusaidia kujua maana ya hilaHivi,mfano. Ukiwa na mari,usizoweza kueleza upatikanaji wake,unadhani utaeleweka vipi? Je,unapokuwa katika nafasi inayokuruhusu kuhujumu,usiguswe? Je,mwenye kufilisiwa kwa hila, unakula nankumwaga,wenzako hawana hata maji tu! We mtu gani?
Vizuri kabisa kila mtu ana sababu zake kumkumbuka hivyo sioni haja wewe kuchukizwa na kutokwa mapovu kwa wengine wenye sababu tofauti na zako za kumkumbuka Magufuli.Nini kukumbukwa?. Kwani Iddi Amini na Mobutu hawakumbukwi? Au Adolph Hitler na Benito Mussolini hawakumbukwi?
Suala unakumbukwa kwa kitu gani. Mimi nitamkumbuka Magufuli kwa kujenga Airport kijijini kwake na sasa imebaki useless kama Gbadolite ya Mobutu. Nitamkumbuka pia kwa kutuma kikosi cha Makonda kwenda kumshambulia Tundu Lissu.
Na nyie wajinga mna yenu ya kumkumbuka
Facebook Libya wajinga kama wewe MnachihanguuuKwamba wewe una akili sana kuwazidi watu wote wanautumia Facebook? Wewe ni mwehu kuliko huyo