Niseme nini kuhusu ushindi wa Stories of Change?

Asilimia kumi NI Kwa Mungu iende.usisahaaaau kwa maana aliyekupa wewe ndio kawanyima wenzako
 
Huko ndani ndani ndio kuzuri hakuna umbea.

Kikao kinafanyika vizuri sana..

Onyo: wasiwepo hawa 20s wawepo MASHANGAZI.

Pesa ya ushindi ina raha sana na ushindi ukiwa wa halali.
Kaka Tlaatlaah tukutane bro, hiki ni kikao muhimu tukiwa na Saad30 , Onyo lake lizingatiwe, wawepo wenye experience tu, hivyo vya 20s wakale ice cream
 
Sasa milioni saba nayo hela?
 
Oya mkuu, hongera sana kwa maokoto.
Kuhusu mafwedha ushasema tusikupangue matumizi.
Mimi swali la kizushi, huyo mtoto hapo wa kwanza kushoto kwenye picha hapo juu, ulifanikiwa kupata japo ka namba kake?
Pesa utaninyima, lakini hata ka namba ka huyo mtoto unibanie?
Embu fanya maajabu ndugu yangu niende akanielekeze kuhusu kuandika mastory ya ku change
 
Hahahaha... Siyo wafanyakazi kwelii wa JF hao na mwenzake wa mwisho kulia

Sema yuko byeee aise...
 
Hebu icrop picha ili niwe na uhakika
 
Hela za kupokea public Zina adhari zake.... anyway ongeza mke chief
 
Naomba kwenye hiyo hela unimegee LAKI MBILI tu, nina shida sana MWAISA.

Kumradhii mheshimiwa! Nikutumie namba yangu ya MPESA???
 
This is vawulance
Umeanza sasa...
Ka namba ka simu tu unataka niandike thesis?
We niwekelee mshkaji wangu na mimi nkafaidi mema ya dunia.
We enjoy maokoto, mimi niache niienjoy hiyo totoz..
Au tuambizane tu ukweli kama na wewe unasalandia ili nifunge mguu nipige kwata kama afabde kurudi sitimbi.
 
Huyo namba yake sikuchukua mkuu, ila unaweza kuipata ukiweka tangazo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…