Niseme Ukweli. Katika kutafuta mchumba humu mitandaoni nlikutana na watu wa ajabu sana

Alaaah! kumbe ni watani wa jadi, mada ya Da Jane niliiona ndio.... basi 2019 upande wa pili nao utarudisha majibu kwa mada murua ya kufungulia mwaka, lol

Ngoja nishike jembe nikalime mie.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naandaa pilao hapa .wahi bna

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duuuh.
Watu mmeumizwa humu ndani bwana.
 
Alaaah! kumbe ni watani wa jadi, mada ya Da Jane niliiona ndio.... basi 2019 upande wa pili nao utarudisha majibu kwa mada murua ya kufungulia mwaka, lol

Ngoja nishike jembe nikalime mie.

Sent using Jamii Forums mobile app

Mada zenye haya maudhui zipo nyingi tu humu, hususan jukwaa la Chit-Chat.

Ndo maana nikasema, ukiwa objective observer, huo ukweli utauona.

Ngoja nikuulize, kimaudhui, mada ya DaJane na hii ya huyu jamaa, zina tofauti gani ya kimsingi ukiacha kuwa DaJane alikuwa anawazungumzia ‘wanaume wa JF’ na huyu jamaa anawazungumzia ‘wanawake wa JF’?

Sorry kama nimekuzamisha kwenye mambo ya kifalsafa zaidi....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…