Niseme Ukweli. Katika kutafuta mchumba humu mitandaoni nlikutana na watu wa ajabu sana

Hata mimi siachagi kumwambia. Anayoayaandika huku JF na alivyo mtaaani ni watu wawili tofauti. Mtaani ni mtu flani smart anajielewa sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanaume nao tupoje aslimia kubwa wakuu mama..wekeni nasi tujisome.
Niongee nini naameshasema yote kwenye kila neno mwanamke weka mwanaume.
Humu kama wapo watu serious niwanahesabika
Wengi hawajiamini wanahasira kujitambua ni shida pia wanakuhukumu mapema .
Akikukuta simu busy unaongea nanani au umeanza umalaya .
Dah maisha sio humu.
Kuna mtu kanipa ushauri kipindi natafuta mtu humu nasio yeye tu.
Na baadhi ya wanawake.
Ushauri walionipa 2019 ndio nitatekeleza.
Basiii kwa maana humu kuna mtu kasemaje mtu akitafuta mchumba humu ni hana akili hajakosea so kamkashifu mtoa mada .
 
Maandishi yako umeyafanya kama yale ya waraka wa Yohana kwa watu wake yan wewe ni Nabii na hadhira yote inapaswa kusikia unachokiamini.

Si kila unachokitaka na unachokiwaza lazima kitimie na hakuna kinachokosa kasoro

Jamii forum ni ya kila mtu awe malaya,mtu mwema,mlevi, Shoga,Mganga mcha mungu n.k tafadhali tusibaguane

Nchi yetu ni ya demokrasia kila mtu anayo haki ya kufanya anachotaka kinachompendeza ila asivunje tu sheria za Nchi Ili kwako limekuwa gumu sana kulikubali,

Siku zote unachokiwaza na kukitaka ndicho unachokipata,Baki na unachoamini hata baada ya uzi huu neno lako haliwezi kuwa sheria na maisha bado yataendelea

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sawa sawa.
 
Ndio maana nikasema kwa kua ni watani wa jadi basi acha tusubiri mada zingine zaidi kama hizi, wakati huo watani wakigombana wapambe tunaenda kulima na wakipatana basi tunaenda kuvuna.

it's kinda funny though.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
I like this.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…